Kuna mahaba rafiki ila hayo ya kujipa wasiwasi wa moyo hapana kwa kweli bora ukutane nayo ila siyo yale ya kuyatafuta mwenyewe.Yaan hapo ndo aman itakapoanza kupeperuka! simama kiume naww! khaaa!atakuja siku atakuambia mbadilishane line zasimu! atakuja siku atasema twende wote job had unapotoka kazini!bla blah kibao kwasisi wanawake!USIMPE MUYEGO
Hahahaaa. Hajawaza mara mbili mbili huyohahahahah lakinkwann aitake?mie nahis italeta machafuko tupu!ukimchunguza sana bata....
Usifanye hivo bana mkuu. Anakupenda huyo ndio maana. Hataki uibwe.wanawake wana kero sana bora ht niongee humu lbd asira zng zitaisha.huyu wangu kila nikishika sim anaanza kuchungulia nafanya nn?!cha ajab yy mi simfwatilii na yuko biz na sim 24hrs ajab nikishika yng tu anaacha kutumia yk anaanza kuchungulia.mara ukirud aanze kuchungulia boxer km umegeuza aanze la kusema.amekaa kisharishari kila mda hd nafkiria ht nimtoroke
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna mahaba rafiki ila hayo ya kujipa wasiwasi wa moyo hapana kwa kweli bora ukutane nayo ila siyo yale ya kuyatafuta mwenyewe.
Ila kazi anayo huyo bidada.
Ndio qnataka sasa. Mwambie achague moja,password ya ATM au ya fb. Lakini mkeo anaweza kuwa bobo,kweli kabisa....Fb password???kushare n lazima BT kuna vya kushare, kuna privacy [emoji358] za mtu hata akiwa kwenye ndoa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbavu zangu swahiba. lol.Uyo sio mtu yeyote ni mkeo na mumeshakua kitu kimoja ndo maana mnatumia shuka moja na ndio maana mnaunganisha vikojoleo matokeo mnapata watoto ....mpe password acha blah blah...shubaaamiiiiiiit
Sent using Jamii Forums mobile app
mi nahic yy ndo tabia yke hvyo mwizi anaogopa kuibiwaUsifanye hivo bana mkuu. Anakupenda huyo ndio maana. Hataki uibwe.
Ndio akili yake ilipoishia. Pole yake sa sijui huko fb atapata nini ambacho kina faida. lolHuyo mke kiboko, badala aombe password ya bank anaomba ya fb, mbombo jillipo [emoji124]♀️[emoji124]♀️[emoji124]♀️
Anataka kukaba hadi penalty lolkwakweli shost!alafu ndoa bado changa sana !
Sitaki kuamini hivyo mkuu ila najua sisi wanawake tulio wengi tunataka tuwe peke yetu hatutaki kuibiwa
Eeeh ampe tu .....amewezaje kumuonesha kiungo chake cha siri kabisa ashindwe kutoa password si umburula huo ampe tuMbavu zangu swahiba. lol.
Hivyo ampe eeee?
Hahahaaa. Haya bana mumyEeeh ampe tu .....amewezaje kumuonesha kiungo chake cha siri kabisa ashindwe kutoa password si umburula huo ampe tu
Sent using Jamii Forums mobile app
kweli kuwaelewa wanawake ni ngumu sn!ila huyu wng km ni wivu ni kiwango cha bombadier.nahisi ujinga wng uliniponza mwanzo wa kutaka nimkomoe kwa kumpa kitombo kikali ili anikimbie matokeo ndo haya.kisu mfupaniSitaki kuamini hivyo mkuu ila najua sisi wanawake tulio wengi tunataka tuwe peke yetu hatutaki kuibiwa
Hahahaaaa. Angekuwa humu mtoto mzuri mwenzangu tungemshauri aisee vipo vya kung'ang'ania kuvijua na vyenye maana sana kuliko hiyo password ya fbNdio qnataka sasa. Mwambie achague moja,password ya ATM au ya fb. Lakini mkeo anaweza kuwa bobo,kweli kabisa....Fb password???
Pole sana mkuu. Mzowee tu kwa kweli.kweli kuwaelewa wanawake ni ngumu sn!ila huyu wng km ni wivu ni kiwango cha bombadier.nahisi ujinga wng uliniponza mwanzo wa kutaka nimkomoe kwa kumpa kitombo kikali ili anikimbie matokeo ndo haya.kisu mfupani
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanza naitoa wapi akili mbovu hiyo mtoto nzuri mwenzangu!!!Hahahaaaa. Angekuwa humu mtoto mzuri mwenzangu tungemshauri aisee vipo vya kung'ang'ania kuvijua na vyenye maana sana kuliko hiyo password ya fb
Bila kusahau kile cha mkojo. Teh teh teh.Kwanza naitoa wapi akili mbovu hiyo mtoto nzuri mwenzangu!!!
Huyo ni wa kupima ubongo