Ndio hapo sasa.. Mpe tu since u share each and everything,kama mnadhare vikojoleo inakuwa kitu kidogo Accmpe si ni mkeo
Ndio hapo sasa.. Mpe tu since u share each and everything,kama mnadhare vikojoleo inakuwa kitu kidogo Acc
Yaani we acha tu,kutafuta presha tu aisee hakuna lingine. Watajuana wenyewe aiseemie binafsi huwa sitak kuishi kwa mateso!huyo mke anaguts sana sana! alfu ndo kwanza wana mwaka mmoja mnataka kuanza kusafishiana acc au kufukua makaburi!hhehhehh! huyo dada ajiandae kupata kisukari
thxHakuna haja ya kumpa
nyie ni mwili mmoja ila kuna mambo yanatakiwa kuwa faragha ya mtu binafsi kama a/c za social media, bank n.k
Ila kama unaona ni sawa mpe tu
kushare n lazima BT kuna vya kushare, kuna privacy [emoji358] za mtu hata akiwa kwenye ndoaNdio hapo sasa.. Mpe tu since u share each and everything,kama mnadhare vikojoleo inakuwa kitu kidogo Acc
cna wasiwasi BT hana sababu n aina gan ya mambo mengi anayasemea kwenye a/c cz kila kitu tunashare hata posts za fb freelymshakuwa mwili mmoja wasiwasi wako ni nini ??
Kama mnaishi kwa upendo na mnaaminiana basi Nashauri umpe hiyo password ili kumaliza ugomvi.Za asubuhi wanajamii,
Mimi ni mzima wa afya,
Naomba niende direct kwenye mada kama kichwa kinavyojieleza mimi ni kijana nimeoa ka mwaka sasa umepita, tunaishi kwa furaha na amani tele but cha kushangaza tokea wiki iliopita mke wangu amekua akidai account nina mambo mengi sana na anataka nimpe password aniasidie kuisafisha.
Mimi sina chohote ninachomfichaga but sipendi kushare account password na mtu yeyote, sasa imekuwa ugomvi tuu.
Naomba ushauri nifanyeje?
NB; Lugha chafu hazikubaliki ni ushauri tuu naomba.
Sent using Jamii Forums mobile app
cna wasiwasi BT hana sababu n aina gan ya mambo mengi anayasemea kwenye a/c cz kila kitu tunashare hata posts za fb freely
Sent using Jamii Forums mobile app
cna wasiwasi BT hana sababu n aina gan ya mambo mengi anayasemea kwenye a/c cz kila kitu tunashare hata posts za fb freely
Sent using Jamii Forums mobile app
No, huyu n mke rasmi, mke wa mtandaoni hapanaNyie mlikuta facebook itakuwa