Mke wangu ananishangaza sana

Sasa umeleta mshangao wako humu huoni unapotezea muda kufikisha ujumbe kwa wasiohusika au una katabia ka umbea umbea
Hivi unajua hili ni jukwaa gani? na linahusika na mambo gani? watu kama nyie hamkupaswa kuwepo hapa
 
aiseee ""aanzishe shule ya awali hapo nyumbani""
 
wewe una mchepuko tayari.....kwa kifupi unachapiwa,,, kosa lako ni kukagua simu yake,,, kwa mwezi mara mbili duh,,,,unapoteza muda mrefuuu huku kuomba ushauri wakati jamaa yuko chumvini kwa mkeo.....fimbo ya mbali......
 
Mkuu, Mwanaume unaelekezwa na Biblia kuishi na Mkeo kwa akili. Kama simu yake ni smartphone, install kitu inaitwa mobile spy, utaipata kwenye play store, simu zinazopigwa na sms zote itakuwa zinakuja kwenye barua pepe yako, kama utahitaji na sms za Whatsapp itakubidi u-root simu yake. Kwa kawaida mobile spy itakupa mwezi mmoja bure baada ya hapo itakwambia ulipie, ndani ya mwezi mmoja utakuwa umegundua kitu. Kwa taarifa na maelekezo zaidi, njoo pm. Usikubali kuchapiwa ovyo ovyo mwishowe uletewe magonjwa ndani. Aidha, nakushauri usichepuke bali fanya uchunguzi ukibaini ukweli chukua hatua ya kumwonya wife wako. Ukianza kumwuliza bila ushahidi, kama ni kweli atakataa na kama sio kweli ataona kama humwamini.
 
anachart na watu wengine wakaribu ikiwemo ndugu zake na ndugu zako pia,,..ikumbukwe kuna namba nyingi kwenye sim yake ikiwemo na yakwako,,..mwanaume hutakua na complications kwa issue ndogo kama ya whatsap,,..cha msingi fuatilia nyendo zake kwa karibu.
 
Unakumbuka lakini kuwa kuna wakati unaweza kutumia hiyo whatsup, na 'usipotoka' utabaki kuonekana online hata usiku kucha?

Duuh...eti uta-cheat mpaka atashangaa.....wee bwana wewe....aisee....
 
Kama mkeo yuko huku JF atakuwa amesikia kilio chako na bila shaka atajirekebisha. Lakini kama hayupo humu wanajf hawamjui ili wamfikishie ujumbe. Pole
 
Tabia elekezi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Yaani wilaya tofauti tu, unakuwa mvivu wa kwenda kwako
Uwe unaenda angalau kila weekend na yeye anakuja kukutembelea, matatizo ya namna hiyo hayatakuwepo
 
Sidhani kama anachepuka ,kuwa online sio lazima uwe unachat mkuu ,double check and make a proper decision
 
Kaizer;
Huzifahamu au vipi mkuu. Kila kilicho kutoka kina vijitabia elekezi zinazo elekea makwenu, eg Kwa babu yake, au bibi yake
hahahaaa kilichonifurahisha ni matumizi ya hili neno elekezi, toka JK aachukue nchi basi limekuwa neno pendwa sasa naona limeingia hadi ndani kwenye familia kukagua tabia elekezi za watoto wasio wa familia ile na vice versa
 
Jee hio sms zako zinafika kwa wakati isijekuwa zinadhuiliwa hewani na Tigo. Halafu kwanini usimwabie mwenyewe hapa kuna wazinzi watakwambia kachepuke. Wanaume wa mikowani wanashindwa hata kuwauliza wake zao.
Hahahaha...wanaume Wa dar bhana!!![emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…