Mmh! Usikute mwenyewe anajua kuwa mkewe huwa hawashi data. Ila ushauri mzuriUsichepuke. Mda mwingine anaweza kuwa amewasha data mda wote. Lakn kumbe hata hachat. Mfano mimi Huwa sizimi data mara kibao rafk yangu wa kike aninituumu simjibu meseji zake lakn huwa nipo bize sana mimi ni Mwalim wa sekondari nafundisha sayansi hivo mda mreeef sana nakuwa biz darsn, huku data Zikiw on na cm ikiwa ofsn. So ndg Usichepuke hiyo si solution . pengne yupo katulia zake unamhisi tuu
siku hizi wanaume wapo busy sana hawana muda wa kupoteza kuongelea mustakabari wa mahusiano yao wenyewe wanaita "nonsense"Jaribu kumuuliza mke wako kuhusiana na suala hilo. Zungumza naye kwa upole. Ni hatua nzuri ya kuimarisha uhusiano wenu kama utatafuta muda mzuri ukamueleza unapendelea mfanyiane nini na umfahamishe ni vitu gani huwa hupendi akufanyie. Mkumbushe madhara ya wapenzi/wanandoa kuwa na mawasiliano mabovu/hafifu. Ni vizuri ajue mambo yanayoweza kuhatarisha ndoa yenu. Lakini pia na wewe ujitahidi kuwa romantic and exciting. Ubunifu ni muhimu hata kwenye written communication. All the best mkuu
ukiona mwanaume anatumia x kuna walakini!NIMEIPENDA HII ILA NGOJA NIGUNDUE NA MIMI NIXHEPUKE NIONE RAHA YA HAO MICHEPUKO
Nilipata uhamisho wa kikazi kama mwaka hivi hivyo nakaa wilaya tofauti na mke wangu ila naenda nyumbani mara mbili kwa mwezi tuna watoto wawili ila nachoshangazawa nae nikimtumua msg whatsp huchelewa kujibu while yuko hewani mfano jana nilimtumia msg whatsp saa mbili hakujibu mpaka leo na alikuwa online mpaka saa tano usiku sasa najiuliza huwa anachati na nani
Sasa nataka nimfanyie uspy wa kutisha ili nijue na mimi nianze kuchepuka au la na kuna mfanyakazi mwenzie huwa naona wanawasiliana sana kwa simu nikikagua cm yake na yeye huwa anamponda sana huyo jamaa mpaka nashindwa elewa sasa nikigundua mchezo nitachet mpaka atashangaaa
Mmh...kuna tatizo hapo. Ila kulipiza kwa kuchepuka sio solution.
siku hizi wanaume wapo busy sana hawana muda wa kupoteza kuongelea mustakabari wa mahusiano yao wenyewe wanaita "nonsense"
Nilipata uhamisho wa kikazi kama mwaka hivi hivyo nakaa wilaya tofauti na mke wangu ila naenda nyumbani mara mbili kwa mwezi tuna watoto wawili ila nachoshangazawa nae nikimtumua msg whatsp huchelewa kujibu while yuko hewani mfano jana nilimtumia msg whatsp saa mbili hakujibu mpaka leo na alikuwa online mpaka saa tano usiku sasa najiuliza huwa anachati na nani
Sasa nataka nimfanyie uspy wa kutisha ili nijue na mimi nianze kuchepuka au la na kuna mfanyakazi mwenzie huwa naona wanawasiliana sana kwa simu nikikagua cm yake na yeye huwa anamponda sana huyo jamaa mpaka nashindwa elewa sasa nikigundua mchezo nitachet mpaka atashangaaa
He! yani unasubiri hadi uchapiwe ndo uchepuke? Chepuka wewe acha utani na maisha....nikigundua mchezo nitachet mpaka atashangaaa
wa Mikowani kumbe ndivyo walivyo eeh?basi wa DAR wanaafadhali...Jee hio sms zako zinafika kwa wakati isijekuwa zinadhuiliwa hewani na Tigo. Halafu kwanini usimwabie mwenyewe hapa kuna wazinzi watakwambia kachepuke. Wanaume wa mikowani wanashindwa hata kuwauliza wake zao.
Mkuu kamba hujaanza kumchunguza sema na moyo kwanza je ukotayari na kukubaliana na utakacho kikuta au kukiona?Nilipata uhamisho wa kikazi kama mwaka hivi hivyo nakaa wilaya tofauti na mke wangu ila naenda nyumbani mara mbili kwa mwezi tuna watoto wawili ila nachoshangazawa nae nikimtumua msg whatsp huchelewa kujibu while yuko hewani mfano jana nilimtumia msg whatsp saa mbili hakujibu mpaka leo na alikuwa online mpaka saa tano usiku sasa najiuliza huwa anachati na nani