Mke wangu ananipenda sana!

Pattern hazipo sawa, nazungumzia mie na mleta mda 😅
Mwanaume akichepuka siyo hampendi mkewe we hushangai mwanaume anazaa nje ya ndoa siku akifa wanaibuka watoto wakubwa kabisa wanaojitambua kusema ni baba yao?

Na miaka yote anakuwa anaishi na mkewe kwa upendo kabisa huku akiendelea kuzaa nae watoto,ni ajali tu hutokea.
 
Ni kweli mkuu, unacho zungumza ni sahihi kaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…