Mke wangu ananipa tendo kwa masimango

Shuleni wakati wenzako wanajifunza kusoma na kuandika, wewe ulikua unasugua vimbegu vya ubuyu ktk sakafu halafu unawachoma wenzako
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] daah huyu jamaa bana
 
Hebu acha ujinga.Mfinye na weye!
 
Kheeeeeh me hata sijaelewa
 
Kama ni mke wa ndoa sina cha kukushaur ila kama unapga kisela kma mm tu piga chini mkuu kuna vitoto vimepata zero vipo sokon mkuu , usisite kujinyakulia apo ata vitatu
 
Pole mkuu ila kula hivyo hivyo tu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…