Mke wangu ananipa tendo kwa masimango

Tunaisukulu sana wawamu ya sita ya mumama sawia kwa kuturetea wachekeshaji kamawewe hapa jami framu
 
Dada poa afu tatu, acha kulia lia
 
Dash pole Sana mkuu Kwa yaliyo kukuta...
Ila mwandiko .....[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Kwa mwandiko huu, akunyime kabisa tu tendo la ndoa!!!
 
Uzi wa kilugha huu. Kila mtu achangie kwa kilugha chake?
 
Sijaelewa vizuri ulichoandika ila inaonekana haumfikishi kileleni vizuri au haumsugui vizuri au haumtawali vizuri mkiwa chumbani.
Anakukatia miuno kwa nguvu, anakusumbua maana yake anakuambia 'nataka mambo kwa nguvu zaidi, nioneshe uanaume wako kama mtu wa msituni' hayo hawezi kukuambia live.
Kwaiyo anatumia lugha ya vitendo kukuambia wazi kabisa, wewe apo ni kumsoma tu na kumpatia anachokitaka.
Mkunje vizuri na kwa nguvu.
.
Ukianza kusema hayo ni mateso utateseka zaidi ukisikia ametoka nje. Inawezekana unaona ni vibaya kufanya ivo, anza mdogomdogo.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…