LuisMkinga
JF-Expert Member
- Jan 10, 2012
- 3,368
- 6,487
Hatutizamia KIOO juani. Okoa muda na Macho yako. Elimu uliyompa inamtoshaNilimkuta huyu mwanamke akiwa katika hali duni sana ya kimaisha, sina nia mbaya ya kutangaza shida zake kwaku hakuna anaemjua ila nikisema hali ngumu namaanisha ngumu, yani ile hata ya mlo mmoja shida, kifupi ni ufikara.
Nilipendwezwa na kua nibwatu wa kanisani na pia ni kiri kua huyu mwanamke ni mzuri, huenda kwa kipindi kile hakua anajua kua ni mzuri au shida zilimfanya awe humble.
Nilimkuta na baadhi ya changamoto kama maradhi mengine ni y aibu, nimemtibia benga kwa bega bila kumnyanyapaa, mpaka amepona. Kifupi nilijotoa moja kwa moja.
Kosa nililofanya ambalo halikufaa kua kosa ni kumuendeleza kielimu, naona baada ya kutokatoka akaja gundua kua na yeye ni pisi kali miongoni mwa pisi kali.
Nilianza kupata unyumba kwa mbinde sana, mpaka nikaleta uzi humu.
Ila sasa ndugu zangu naona majivuno ya kujiona yeye matawi yanazidi. Ni kama vile mtu anaejiona ana option nyingi sana na kama vile mimi sio level zake.
Kwasasa naangalia watoto tu, niko tayari kwa lolote, mtu mwenye uwelewa mzuri ni baba ake tu, mama ake nao naona pia anampa kichwa mwanae.
Nitakapodhibitisha amenisaliti, tutagawana tulichochuma kiroho safi kabisa, nili muendeleza kwa nia njema, yanayotokea ni maamuzi yake yeye mwenyewe.
Mungu anipe moyo wa kuhimili lolote litakalokuja.
Hawawezi kuelewa..Cc.kissy,dronedrake
Amuache kwa ujumbe mfupi tu wa maneno wala asihangaike na ndugu maana keshasema ni baba yake tu ndo muelewa.Yeah ni sahihi. Asijilaumu. Assamese na a move on tena kama inawezekana afanye sasa kuliko kusubiri amfumanie. Atajiwekea sumu moyoni mwisho wa siku watoto wenu watakosa wazazi.
Acha aendelee na maisha yake mkuu. Muweke chini, mpe msimamo wako mbele ya ndugu zako na zake kama hasikii muache tu maana utakuja kuua.
Ndo mana imesemwa....wameangamia watakao mfanya mwanamke kuwa kiongozi..Pole, sisi wanawake sijui mini hutupata tukishika pesa
Punguza ukali basi. Taratibu. Sina Nia ya kukupangia. Mbona kawaida tu! Sikuharibu lolote. Tafakari tena.Usinipangie
Wataelewa tu mdogo mdogoHawawezi kuelewa..
Kataa Ndoa
Kataa Kusomesha
Piga chini chukua chuma hapa 👇 mahari nitalipaKosa nililofanya ambalo halikufaa kua kosa ni kumuendeleza kielimu, naona baada ya kutokatoka akaja gundua kua na yeye ni pisi kali miongoni mwa pisi kali.
Nilianza kupata unyumba kwa mbinde sana, mpaka nikaleta uzi humu.
Ila sasa ndugu zangu naona majivuno ya kujiona yeye matawi yanazidi. Ni kama vile mtu anaejiona ana option nyingi sana na kama vile mimi sio level zake.
Pole sana mkuu!Nilimkuta huyu mwanamke akiwa katika hali duni sana ya kimaisha, sina nia mbaya ya kutangaza shida zake kwaku hakuna anaemjua ila nikisema hali ngumu namaanisha ngumu, yani ile hata ya mlo mmoja shida, kifupi ni ufikara.
Nilipendwezwa na kua nibwatu wa kanisani na pia ni kiri kua huyu mwanamke ni mzuri, huenda kwa kipindi kile hakua anajua kua ni mzuri au shida zilimfanya awe humble.
Nilimkuta na baadhi ya changamoto kama maradhi mengine ni y aibu, nimemtibia benga kwa bega bila kumnyanyapaa, mpaka amepona. Kifupi nilijotoa moja kwa moja.
Kosa nililofanya ambalo halikufaa kua kosa ni kumuendeleza kielimu, naona baada ya kutokatoka akaja gundua kua na yeye ni pisi kali miongoni mwa pisi kali.
Nilianza kupata unyumba kwa mbinde sana, mpaka nikaleta uzi humu.
Ila sasa ndugu zangu naona majivuno ya kujiona yeye matawi yanazidi. Ni kama vile mtu anaejiona ana option nyingi sana na kama vile mimi sio level zake.
Kwasasa naangalia watoto tu, niko tayari kwa lolote, mtu mwenye uwelewa mzuri ni baba ake tu, mama ake nao naona pia anampa kichwa mwanae.
Nitakapodhibitisha amenisaliti, tutagawana tulichochuma kiroho safi kabisa, nili muendeleza kwa nia njema, yanayotokea ni maamuzi yake yeye mwenyewe.
Mungu anipe moyo wa kuhimili lolote litakalokuja.
Bro,Nilimkuta huyu mwanamke akiwa katika hali duni sana ya kimaisha, sina nia mbaya ya kutangaza shida zake kwaku hakuna anaemjua ila nikisema hali ngumu namaanisha ngumu, yani ile hata ya mlo mmoja shida, kifupi ni ufikara.
Nilipendwezwa na kua nibwatu wa kanisani na pia ni kiri kua huyu mwanamke ni mzuri, huenda kwa kipindi kile hakua anajua kua ni mzuri au shida zilimfanya awe humble.
Nilimkuta na baadhi ya changamoto kama maradhi mengine ni y aibu, nimemtibia benga kwa bega bila kumnyanyapaa, mpaka amepona. Kifupi nilijotoa moja kwa moja.
Kosa nililofanya ambalo halikufaa kua kosa ni kumuendeleza kielimu, naona baada ya kutokatoka akaja gundua kua na yeye ni pisi kali miongoni mwa pisi kali.
Nilianza kupata unyumba kwa mbinde sana, mpaka nikaleta uzi humu.
Ila sasa ndugu zangu naona majivuno ya kujiona yeye matawi yanazidi. Ni kama vile mtu anaejiona ana option nyingi sana na kama vile mimi sio level zake.
Kwasasa naangalia watoto tu, niko tayari kwa lolote, mtu mwenye uwelewa mzuri ni baba ake tu, mama ake nao naona pia anampa kichwa mwanae.
Nitakapodhibitisha amenisaliti, tutagawana tulichochuma kiroho safi kabisa, nili muendeleza kwa nia njema, yanayotokea ni maamuzi yake yeye mwenyewe.
Mungu anipe moyo wa kuhimili lolote litakalokuja.
baby wake wa shule anamkaza na anampa vitu adimu, wewe anakuona BSNilimkuta huyu mwanamke akiwa katika hali duni sana ya kimaisha, sina nia mbaya ya kutangaza shida zake kwaku hakuna anaemjua ila nikisema hali ngumu namaanisha ngumu, yani ile hata ya mlo mmoja shida, kifupi ni ufikara.
Nilipendwezwa na kua nibwatu wa kanisani na pia ni kiri kua huyu mwanamke ni mzuri, huenda kwa kipindi kile hakua anajua kua ni mzuri au shida zilimfanya awe humble.
Nilimkuta na baadhi ya changamoto kama maradhi mengine ni y aibu, nimemtibia benga kwa bega bila kumnyanyapaa, mpaka amepona. Kifupi nilijotoa moja kwa moja.
Kosa nililofanya ambalo halikufaa kua kosa ni kumuendeleza kielimu, naona baada ya kutokatoka akaja gundua kua na yeye ni pisi kali miongoni mwa pisi kali.
Nilianza kupata unyumba kwa mbinde sana, mpaka nikaleta uzi humu.
Ila sasa ndugu zangu naona majivuno ya kujiona yeye matawi yanazidi. Ni kama vile mtu anaejiona ana option nyingi sana na kama vile mimi sio level zake.
Kwasasa naangalia watoto tu, niko tayari kwa lolote, mtu mwenye uwelewa mzuri ni baba ake tu, mama ake nao naona pia anampa kichwa mwanae.
Nitakapodhibitisha amenisaliti, tutagawana tulichochuma kiroho safi kabisa, nili muendeleza kwa nia njema, yanayotokea ni maamuzi yake yeye mwenyewe.
Mungu anipe moyo wa kuhimili lolote litakalokuja.
Una roho mbayaMungu awasaidie, kuna sehemu amejikwaa akaanguka, apukute vumbi arudi kundini maisha yaendelee.
Wanawake ni viumbe wa ajabu, haijulikani kipi wanataka na kipi hawataki.
Huwa wanapenda amani na furaha mdomoni lakini kiuhalisia ni wepesi wa kukengeuka na kuleta shari ndani ya ndoa pindi amani itawalapo.
Sikushauri uachane, tumia njia zote chanya kunusuru ndoa yako.
Punguza ukali basi. Taratibu. Sina Nia ya kukupangia. Mbona kawaida tu! Sikuharibu lolote. Tafakari tena.
Huna tabia hiyo, tangu lini mkuu?
Una umri gani kwenye ndoa?Una roho mbaya
Nimepotea? ila sijapotea kama alivyopotea VP, hadi watu wanatumia kurunzi kumtafuta!Toka tukipata hela, george umepotea 🙄
Hakika, halina upole hilo.Sasa ukali uko wapo hapo?
Usikute wewe neno usinipangie umelisoma kwa ukali halafu unanisingizia mimi
Nawe tungekutafuta hivo....Nimepotea? ila sijapotea kama alivyopotea VP, hadi watu wanatumia kurunzi kumtafuta!
Au buza kwa mpalangeAtakuja jamaa mmoja atasema labda Sweden ya buza Kwa lulenge 🤣🤣🤣🤣🤣
TorchNawe tungekutafuta hivo....
Kiswahili kipana, kurunzi ni nini?