JOTO LA MOTO
JF-Expert Member
- Apr 11, 2018
- 766
- 563
Ila yataka moyo, hasawa kama Jirani mwenyewe amekuacha mbali kimuonekano, kiuchumi n.k.mmmh! ni upendo tu kwa jirani wala hakuna mbaya, Uwe na amani kama ni wewe au kama ni kweli ni jirani yako awe na amani
Mkuu au ni wewe mwenyewe? Jamaa ,,jamaa gni? Weka mpira kati usaidiwe,,,pengine huyo AMOS mwenyewe yupo humu...Hicho ni kilio kutoka kwa Jamaa yangu mmoja, anadai imefika mahali wapo ndani ikisikika ngurumo ya gari Mke anashtuka na kutamka 'Amos huyo'....Jamaa anadai jirani huyo 'Amos' yupo kwenye hatua za mwisho kukamilisha nyumba yake hiyo wanayopakana nayo...Jamaa ameendelea kusema, huyo (Amos) yeye wala haonekani kumshobokea Mkewe, na pia ni Mtu anayeonekana mstaarabu sana na mwenye heshima, mwenye uwezo wake na mara nyingi huambatana na Mkewe na Watoto wao wawili wadogo.
Jamaa anaomba ushauri afanye nini kwani ameshachoka na mwenendo wa Mkewe, na hajui la kufanya.
Umeolewa?Mungu apishie mbali lisitokee, uwiiiiiii
Kuna Watu wana msimamo mzee baba, hata Mwanamke ashoboke vipi wala hawahangaiki nao.Natumai Jesho utakuja na uzi kwamba Yule Jirani anayeshobokewa na Mke wangu Kamla mke wangu
Sio mimi, nawakilisha Jamaa yangu.Mkuu au ni wewe mwenyewe? Jamaa ,,jamaa gni? Weka mpira kati usaidiwe,,,pengine huyo AMOS mwenyewe yupo humu...
Jitahidi Lijibu Maana nakuona sana ila huwa nakukaushiaSwali lako mkuu ni kubwa, nene, pana, zito, refu.🙄🙄🙄
Aache KUJIKINGA kwenye KIVULI CHA JAMAA Fulani,,,awe muwazi AMOS yumo humu JF.....akimla tunamfungulia Uzi mpya,,MKUU AMOS WACHA KULA MKE WA MWENZIO ..kkkkkk😀😀😀😀😀 Kweli kabisa
Hiyo ndilo linalomkera Jamaa.vumilia tu, mwambie ajifunze ku-contain her excitement
ila usipokaa fit usishangae akaliwa hivi hivi unamuona
Mwambie afanye kazi kwa juhudi na maalifa ajitume sana huku akimuomba mola wake amuafikishe kupata pesa ya kununua gari zuri zaidi ya hilo la Amosi naamini hapo shobo ya kumshobokea huyo itaisha na badala yake itahamia kwakeHicho ni kilio kutoka kwa Jamaa yangu mmoja, anadai imefika mahali wapo ndani ikisikika ngurumo ya gari Mke anashtuka na kutamka 'Amos huyo'....Jamaa anadai jirani huyo 'Amos' ndio yupo kwenye hatua za mwisho kukamilisha nyumba yake hiyo wanayopakana nayo...Jamaa ameendelea kusema, huyo (Amos) yeye wala haonekani kumshobokea Mkewe, na pia ni Mtu anayeonekana mstaarabu sana na mwenye heshima, mwenye uwezo wake na mara nyingi huambatana na Mkewe na Watoto wao wawili wadogo.
Jamaa anaomba ushauri afanye nini kwani ameshachoka na mwenendo wa Mkewe, na hajui la kufanya.
Kwa hiyo jamaa amekutuma uje useme humu ?, kwa nini asiseme mwenyewe ili tuone hisia zake ?Sio mimi, nawakilisha Jamaa yangu.
Nafiri ahame hapo, mpaka aje kununua gari huyo mke atakuwa salama mbele ya Amos ?Mwambie afanye kazi kwa juhudi na maalifa ajitume sana huku akimuomba mola wake amuafikishe kupata pesa ya kununua gari zuri zaidi ya hilo la Amosi naamini hapo shobo ya kumshobokea huyo itaisha na badala yake itahamia kwake
Huyo Jamaa ajilipue tu.Hicho ni kilio kutoka kwa Jamaa yangu mmoja, anadai imefika mahali wapo ndani ikisikika ngurumo ya gari Mke anashtuka na kutamka 'Amos huyo'....Jamaa anadai jirani huyo 'Amos' ndio yupo kwenye hatua za mwisho kukamilisha nyumba yake hiyo wanayopakana nayo...Jamaa ameendelea kusema, huyo (Amos) yeye wala haonekani kumshobokea Mkewe, na pia ni Mtu anayeonekana mstaarabu sana na mwenye heshima, mwenye uwezo wake na mara nyingi huambatana na Mkewe na Watoto wao wawili wadogo.
Jamaa anaomba ushauri afanye nini kwani ameshachoka na mwenendo wa Mkewe, na hajui la kufanya.
ni kwri maan akina dada walo wengi ni mazaifu sana ktk kushobokea wenye vyaoIla yataka moyo, hasawa kama Jirani mwenyewe amekuacha mbali kimuonekano, kiuchumi n.k.