mwehu ndama
JF-Expert Member
- Nov 12, 2019
- 2,186
- 8,377
Ndio huyo mkuu, bosi amenigeukaNdiye yule alipangiwa nyumba na bosi karibu na kazini?
Hajakugeuka. Ni wife wako tu amekuwa mtu wa shukrani, umepata mke mwema.Ndio huyo mkuu, bosi amenigeuka
HaahahhahKwa Siku tatu mfululuzo nimekua katika taharuki kubwa , kutokana na kitendo cha mke wangu kumuwekea bosi wake wasapu sitatasi na kapusheni nyingi za kunizodoa na kunidhalilisha..
Leo asubuhi amempost bosi wake ndugu Abudala na kuandika "mtu mwenye moyo wake mjini , sio Hawa wakwetu wanaume videvu, wavaa shati za vitenge na suruali za ulimbo".
Ukweli nahisi kudhalilika kupitia wasapu sitatasi zake, hasa ukizingatia huyo bosi wake ni juzi alinipa laki moja na kuomba mke wangu ahamia kazini kwake namimi nikakubali.
Nalia kwa uchungu ndugu zangu!!!!
Baaaaaaaaadi😂😂😂😂Kwa Siku tatu mfululuzo nimekua katika taharuki kubwa , kutokana na kitendo cha mke wangu kumuwekea bosi wake wasapu sitatasi na kapusheni nyingi za kunizodoa na kunidhalilisha..
Leo asubuhi amempost bosi wake ndugu Abudala na kuandika "mtu mwenye moyo wake mjini , sio Hawa wakwetu wanaume videvu, wavaa shati za vitenge na suruali za ulimbo".
Ukweli nahisi kudhalilika kupitia wasapu sitatasi zake, hasa ukizingatia huyo bosi wake ni juzi alinipa laki moja na kuomba mke wangu ahamia kazini kwake namimi nikakubali.
Nalia kwa uchungu ndugu zangu!!!!
Asante kwa kunitia moyo ubarikiwe sana, wanafiki ni wengi humu jeiefu
Bado kuna wanaume wanalilia mapenzi?😄😄😄😄😄😝😝😝Kwa Siku tatu mfululuzo nimekua katika taharuki kubwa , kutokana na kitendo cha mke wangu kumuwekea bosi wake wasapu sitatasi na kapusheni nyingi za kunizodoa na kunidhalilisha..
Leo asubuhi amempost bosi wake ndugu Abudala na kuandika "mtu mwenye moyo wake mjini , sio Hawa wakwetu wanaume videvu, wavaa shati za vitenge na suruali za ulimbo".
Ukweli nahisi kudhalilika kupitia wasapu sitatasi zake, hasa ukizingatia huyo bosi wake ni juzi alinipa laki moja na kuomba mke wangu ahamia kazini kwake namimi nikakubali.
Nalia kwa uchungu ndugu zangu!!!!
Pole sana bossAsante kwa kunitia moyo ubarikiwe sana, wanafiki ni wengi humu jeiefu
tukiachana na tatizo la afya ya akili ulilonalo au unalojaribu kulitafuta kwa nguvu, changamoto nyingine ipo hapo chiniKwa Siku tatu mfululuzo nimekua katika taharuki kubwa , kutokana na kitendo cha mke wangu kumuwekea bosi wake wasapu sitatasi na kapusheni nyingi za kunizodoa na kunidhalilisha..