Mke wangu anakuja kunifanyia fujo kazini

Mke wangu anakuja kunifanyia fujo kazini

Michael Ngusa

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2014
Posts
1,637
Reaction score
463
Habari zenu,

Mke wangu aliponiletea mtoto jana, alifanya fujo pia so nikamtuliza na Tsh 45,000. Jioni akanipigia simu kuwa ataendelea kuja kazini ili aniharibie kibarua.

Nishauri cha kufanya.
 
Habari zenu,
Mke wangu aliponiletea mtoto jana, alifanya fujo pia so nikamtuliza na Tsh 45,000. Jioni akanipigia simu kuwa ataendelea kuja kazini ili aniharibie kibarua. Nishauri cha kufanya.

Mkuu this serious, ananijengea picha mbaya ofcn, ma hr wameshaanza kunisumbua, and that is all u can advise??

Huyu ni mtu mmoja?
 
Ma HR wenu wanakusumbua kwa lipi sasa??!!
Mtu anayefanya fujo kama unavyoziita mwenyewe hujui pa kumpeleka????
 
Habari zenu,
Mke wangu aliponiletea mtoto jana, alifanya fujo pia so nikamtuliza na Tsh 45,000. Jioni akanipigia simu kuwa ataendelea kuja kazini ili aniharibie kibarua. Nishauri cha kufanya.

una mke au kimada?? kama ni mke, kwanini bado upo nae??

unafanya kazi gani??

maana mengine yanazuilika kirahisi sana
 
We nae ebu grow up sasa,sio kila kitu kati yako na mkeo unakileta huku,unajidhalilisha tu.ishu ndogo kama hyo nayo ni ya kuileta huku jf kweli?ndio tatizo la ndoa za utoton hili.
 
Lea mtoto wako usisubiri hadi afanye fujo ndio umpe hela za matumizi.
 
Mpe kitu hapo hapo kazini ww atatulia. anahitaji kubadili mandhali .
 
Huyo hujampa mapenzi, tafuta muda umuombe muonane uongee nae taratibu na umliwaze, ana stress. Simaanishi ufanye nae tendo la ndoa, toka nae out umsikilize na mjadiliane yanayomsibu
 
Hapana, najua wanawake wa hivi. Huwa wanakua wanapenda sana wakusikie tu
Hata Kama unawapa hela, watakutafuta tu
 
mpeleke polisi tu, tena mwambbie hela ya matumizi afuate stationw
 
Habari zenu,

Mke wangu aliponiletea mtoto jana, alifanya fujo pia so nikamtuliza na Tsh 45,000. Jioni akanipigia simu kuwa ataendelea kuja kazini ili aniharibie kibarua.

Nishauri cha kufanya.

Whaaaat Eti Eti nikamtuliza kwa 45,000.00 kweli? Ukamtuliza mkeo? Hujui kuwauna wajibu kumtunza yeye na m/watoto wenu hata kama mmetengana? Fujo unazitakawewe kwanini humtunzi mke wako? Inaelekea humpatii pesa za matunzo ndio maanaanakufuata ofisini.
 
ebu jiongeze kidogo, not only as a man but as a human being pia...yani unaona kabisa sijui ndio mkeo anajaribu kuharibu kibarua chako and hujui cha kufanya!!...nilifikiri utaweza kumlea huyo mtoto ila kama ndio uko hivi huyo mtoto atakushinda,hutaweza kumlea kama mzazi
 
Habari zenu,

Mke wangu aliponiletea mtoto jana, alifanya fujo pia so nikamtuliza na Tsh 45,000. Jioni akanipigia simu kuwa ataendelea kuja kazini ili aniharibie kibarua.

Nishauri cha kufanya.

Mwambie mkuu wako wa kazi yote, na dhamira aliyonayo mkeo. Na kama kuna uwezekano rudiana na mkeo.
 
Back
Top Bottom