Mke wangu anajamba jamba sana mpaka najiuliza kulikoni

Nina mwaka wa nne sasa kwenye ndoa yangu. Mimi na mke watu tuna watoto wawili, ila kuna jambo ambalo ashakum si matusi limekuwa likinipa kero sana na kuwa na maswali mengi. Mke wangu anapenda kujamba, jamani acheni kabisa, yaani anajamba kwa nguvu zote na kwa kujisikia raha sana, nimejaribu kumwambia kuwa hiyo hali inanipa kero lakini wala haelewi.

Na jambo hili halitegemei kala nini awe amekunywa mchemsho au chips atajamba.awe amekula maharagwe au kunde atajamba. Awe amekula wali samaki atajamba, si mchana si usiku, ye muda wote ni hali hiyo, nimejaribu kuangalia sehemu yake ya haja kubwa kama pengine inaweza kuwa wazi au sijapata uthibitisho wowote bado.

Lakini nachoshangaa ni kuwa anapotaka kufanya jambo hilo huwa kabisa anajiandaa na kubinua makalio yake huku akikenua meno kana kwamba anafanya jambo la busara, raha na la kustahili sifa, yaani ana enjoy sana hilo jambo, lakini starehe yake kwa wengine ni kero. Nisaidieni ana tatizo gani au nimsaidie vipi asiwe anafanya jambo hilo, too much is harmful.
lahaula wa laquata...tayari watu wa tigo wameshapita pole zana kaka
 
Fanya uchunguzi , ATAKUWA amefumuliwa Malinda bila kujua (yaani WANAMPIGA 0713 BILA YA WEWE KUJUA), wanawake wengi wanaochepuka wanapigwa tigo sana na mijamaa mtaani ili apewe radha tofauti na aliyoizoea kwa Mume wake! Na 99% ya wanandoa inaaminika HAKUNA TIGO! so akichepuka akakumbana nayo ,tayari yeye anaifurahia bila kujua madhara yake! Kwahiyo mkeo anatoa tigo, lakin haitatokea akwambie umpe tigo wewe kama Mume wake kwa aibu na fedheha!
Sasa NUT zimelegea ndo chanzo cha kuachia kijambo hadharani!
Na ukipigwa tigo kwa muda MREFU hata mshiba wa aibu unakufa ,kila kitu kwako unaona ni furaha tu!
FANYA UCHUNGUZI KUUJUA MCHEPUKO WAKE TU, NI SUMU BALAA AKIKUKATANA NA WAFUMUA MALINDA.
 
Daaa asee mnaosema hayo mambo ni ya siri sijui hata mmekula maharage ya wapi, kwani hamjui kua humu jukwaani ni full anonymous jamani,
Yani aminj usiamini humu JF wote ni anonymous kasoro mkurugenzi wake tu bwana max mero ndo anatambulika
 
Akijamba tena mnase kibao kikali sana. Hatarudia hiyo kitu maana ameshakuzoea huyo. Na wambia unanuka vibaya
 
Back
Top Bottom