MUSHEKY
JF-Expert Member
- May 9, 2014
- 2,812
- 2,754
lahaula wa laquata...tayari watu wa tigo wameshapita pole zana kakaNina mwaka wa nne sasa kwenye ndoa yangu. Mimi na mke watu tuna watoto wawili, ila kuna jambo ambalo ashakum si matusi limekuwa likinipa kero sana na kuwa na maswali mengi. Mke wangu anapenda kujamba, jamani acheni kabisa, yaani anajamba kwa nguvu zote na kwa kujisikia raha sana, nimejaribu kumwambia kuwa hiyo hali inanipa kero lakini wala haelewi.
Na jambo hili halitegemei kala nini awe amekunywa mchemsho au chips atajamba.awe amekula maharagwe au kunde atajamba. Awe amekula wali samaki atajamba, si mchana si usiku, ye muda wote ni hali hiyo, nimejaribu kuangalia sehemu yake ya haja kubwa kama pengine inaweza kuwa wazi au sijapata uthibitisho wowote bado.
Lakini nachoshangaa ni kuwa anapotaka kufanya jambo hilo huwa kabisa anajiandaa na kubinua makalio yake huku akikenua meno kana kwamba anafanya jambo la busara, raha na la kustahili sifa, yaani ana enjoy sana hilo jambo, lakini starehe yake kwa wengine ni kero. Nisaidieni ana tatizo gani au nimsaidie vipi asiwe anafanya jambo hilo, too much is harmful.