Hela sio tiba kwenye hili tatizoMpe hela . Ww mpe hela tu .mpe hela Nyingi sn
Hela sio tiba kwenye hili tatizo
Ana hitaji kukaa nae na kuongea nae muulize kwanini ana kuwa hivyo hizo taarifa ulizozipata toka nje azitoe mwenyewe usiishi kwa kudhani au kufikiri yeye binafsi ndiye anajua tatizo ni nini?
Vunja ukimya ili ufurahie ndoa yako
Hata yeye mwenye huwa anamtaja taja shangazi kuwa ni mtu katili kwake
Hata yeye mwenye huwa anamtaja taja shangazi kuwa ni mtu katili kwake
Ndugu wanabodi,
Ndoa yangu imekuwa na mtikisiko kidogo ambao kwa kiasi fulani unanipa shida hivyo nakuona kama vile mke wangu hanifai kwa sasa. Anaonekana ana tatizo la kisaikolojia na hivyo kugeuza jambo lolote analoambiwa kuwa negative yaani kila jambo analiona kwa mtazamo hasi.
Mfano anaweza kuwa amekosea then nikamwambia mke wangu hapa umekosea basi yatatoka maneno kumi, yaani mimi namnyanyasa, na mengine mengi. Mwanzoni nilikuwa nachukia mpaka nampiga lakini nilivyoona bado hajirekebishi nakaanza kutafuta nini chanzo hasa.
Nikajaribu kuchunguza pengine ameanza kuchepuka hakuonekana hivyo, pengine marafiki zake wanamjaza ujinga nikagundua hapana. Nikajaribu kufuatilia historia yake vizuri jinsi alivyo zaliwa na jinsi alivyolelewa.
Nilichokigundua wazazi wake yaani mama baba walifariki akiwa mdogo sana na hivyo kuishi na shangazi yake, lakini shangazi yake akawa anatreat vibaya hata na ndugu wengine wakawa kama vile hawamthamini, aliamua kutoka kwa shangazi yake kwa kukimbia na kwenda kuishi kwa mama yake mdogo lakini nako kukawa hivyo hivyo. Sasa amekuwa hivyo kwenye akili akajijengea kwamba yeye hakuna wa kumthamini, hata ni kimkosea anatoa maneno ya kukata tamaa hivyo lakini namuomba msamaha then anakuwa sawa.
Naombeni ushauri nini nifanye maana kumpeleka kwa wanasaikolojia nahisi ataona kama nimetoa mambo yake nje. Anasumbuliwa na kitu asichokijua yeye
Yaani mpaka umemuoa na kuishi naye ulikuwa hujui historia yake? Hata kuwa wazazi wake walifariki wakati gani, hapo pana shida na hiyo ndoa itakusumbua sana
Mkuu case yako haina tofauti sana na yangu.
Mimi mke wangu alipitia maisha ya ovyo sana. Wazazi wote walifariki. Alilelewa kwa ndugu ambapo alikuwa mistreated vibaya mno. Yeye ndiye wa kutumikishwa. Shule yeye ndiye wa kusoma shule mbaya wenzake international.
Sababu mke wangu nilikuwa nafahamiana nae tangu zamani sana, nilimpenda na niliomba Mungu anipe uwezo na namna ya kumpa furaha siku zote.
Mara kadhaa mke wangu anakumbuka maisha ya nyuma na kuwa kama mkeo lakini nakuwa upande wake.
Niko upande wake muda wote. Ndugu zake waliomnyanyasa wanajaribu tena kuingilia ndoa na kumsema(labda hajawapigia simu muda) na maneno mengi mabaya mabaya.
Nakumbuka siku moja walinikera kiasi nilienda kuanzisha moto na wamefyata wakiwa na heshima kuwa yeye ni binadamu na anastahili furaha zote.
Tatizo hili la furaha kwa mke wangu lilimuadhiri mpaka kwenye performance yake ila namshukuru Mungu aliweza kubadilika sababu ya upendo.
Mpende mkeo zaidi na zaidi. Kuwa nae,,,, yeye ni upande wako. Yeyote aliyetokea kumnyanyasa usimuweke karibu kabisa.
Moyo wangu unasema unampenda sana mkeo
Kama Unamwomba Samahan Anatulia Bas We Una Tatzo,
1. Inawezekana Care Yako Ktk Mapenz Unamtreat Kama Mwanaume Mwenzako.
2, Kama N Mama Wa Nyumban Huenda Akihtaj Msaada Wa Pesa Haumsaidii, Unaishia Kuorodhesha Vitu Ulivyonunua, Mf, Chakula, Dawa, Ama Ulimtoa Out, Ped Kama Unamnunuliaga, Hautatui Tatzo Lake, UNAISHIA MANENO
3. Ni Mwaminhfu, Hachepuk, Kama Angechepuka Asingekujal Na Kukuhangaikia,
4, Haumshirikish Kwa Mipango Yako, Mf, Kununua Kiwanja, Kuchukua Mkopo, Mahar Unapokwenda Anastukia Umefanya Mwenyewe, Atahs Unamdharau Na Kutomthamin, Ama Atahs Una Mchepuko, NA NAHS UKO HVYO.
Hapana mkuu mambo mengi najitahidi sana kumshirikisha na akitaka pesa au mahitaji mengine nampa, tatizo linapokuja ni pale nikimkosoa au nikimkemea jambo fulani basi hata kosa nililomtendea mwaka jana atalikumbusha