Mcqueenen
JF-Expert Member
- Nov 2, 2019
- 6,822
- 11,570
Namim Bas naomba nikuoe I promice nitakuwa nakudefend zaid ya huyo jamaaWaoo hongera sana mmependa ulivyomdefend mkeo
Hakuna mkamilifu kwa kweli
Namim Bas naomba nikuoe I promice nitakuwa nakudefend zaid ya huyo jamaaWaoo hongera sana mmependa ulivyomdefend mkeo
Hakuna mkamilifu kwa kweli
nunua simu nyingine asijue ufanyie mambo yako io aendelee kukaguaAisee nimeamini kuwa 'Samaki mkunje angali mbichi'
Tabia hii niliichukulia kawaida hapo awali Ila sasa nimeichoka. Nikirudi tu toka kazini atakimbilia simu na:
1. Kuangalia sms (kisha atazifuta)
2. Kuangalia calls (na kuzifuta)
3. Akikuta namba ngeni lazima aulize
4. Simu ikipigwa akiwepo huikimbilia na kuiangalia.
Nimechoshwa haka ka tabia. Hebu nipeni muarobaini nimkomeshe na aache upuuzi huu.
NAPOKEA UPONYAJI.
Mtani huu ushauri wako utamfaa kweli?Mpe talaka then urudi enzi zako za punyeto
Akiendelea huyo mke,basi mchawiMwache tu akikua ataacha. We usifute msg yoyote hata ya mcheps iache aje aione. Akiuliza kaa kimya...atalia weeee mwisho wa siku simu yako ataoina kituo cha polisi.
Njia ya pili na wewe anza kukagua yake..muulize kila msg hata Kama ya kawaida we muulize tu akufafanulie utaona na yeye anakereka. Ataacha kushika simu yako.
Dawa ya moto ni maji!
Kuntununua simu nyingine asijue ufanyie mambo yako io aendelee kukagua
Dawa ni kutoweka dole gumba . Mimi fingerprint nimeweka kidole kidogo cha kushoto sasa mpaka aje apatie ni lini? Na 5 attempts tu simu inajiloki
Aisee nimeamini kuwa 'Samaki mkunje angali mbichi'
Tabia hii niliichukulia kawaida hapo awali Ila sasa nimeichoka. Nikirudi tu toka kazini atakimbilia simu na:
1. Kuangalia sms (kisha atazifuta)
2. Kuangalia calls (na kuzifuta)
3. Akikuta namba ngeni lazima aulize
4. Simu ikipigwa akiwepo huikimbilia na kuiangalia.
Nimechoshwa haka ka tabia. Hebu nipeni muarobaini nimkomeshe na aache upuuzi huu.
NAPOKEA UPONYAJI.
Kwa hiyo simu yako imekuwa kiwanja cha maburudisho kwake Fanya hivi weka pass word ambayo akikimbilia huko anagonga mwambaAisee nimeamini kuwa 'Samaki mkunje angali mbichi'
Tabia hii niliichukulia kawaida hapo awali Ila sasa nimeichoka. Nikirudi tu toka kazini atakimbilia simu na:
1. Kuangalia sms (kisha atazifuta)
2. Kuangalia calls (na kuzifuta)
3. Akikuta namba ngeni lazima aulize
4. Simu ikipigwa akiwepo huikimbilia na kuiangalia.
Nimechoshwa haka ka tabia. Hebu nipeni muarobaini nimkomeshe na aache upuuzi huu.
NAPOKEA UPONYAJI.
Haka ka dawa kapili nimekapenda.
Kabisa..ha haaaAkiendelea huyo mke,basi mchawi
Ha haaa inategemea na ntu na ntu. Wengine machiz Kama mie ndo unakuwa umeharibu mazimaSajili namba mpya, jiandikie txt ya mapenzi na ujitumie uone reaction
Tatizi hiloMwanamke ukimdekeza atakushika mpaka makalio, hebu jiangalie na upande wako pengine una makandokando mengi ndomana anabofia togwa lake lisiingie inzi.
Huyo mkeo atakuwa ni mfupi, wanawake wa aina hiyo wanajifanya wanawivu sana, na wewe mkague simu yake utakuja kugundua kitu.
Jibu NiUmeshawahi kum-cheat my wife wako? Umeshawahi kumuonyesha dalili zozote kuwa una mchepuko?