Mke wangu ana kawaida ya kukagua simu yangu kila siku, nini dawa yake?

Aisee nimeamini kuwa 'Samaki mkunje angali mbichi'

Tabia hii niliichukulia kawaida hapo awali Ila sasa nimeichoka. Nikirudi tu toka kazini atakimbilia simu na:

1. Kuangalia sms (kisha atazifuta)
2. Kuangalia calls (na kuzifuta)
3. Akikuta namba ngeni lazima aulize
4. Simu ikipigwa akiwepo huikimbilia na kuiangalia.

Nimechoshwa haka ka tabia. Hebu nipeni muarobaini nimkomeshe na aache upuuzi huu.

NAPOKEA UPONYAJI.
nunua simu nyingine asijue ufanyie mambo yako io aendelee kukagua
 
Raynavero ,ukweli lazima niuseme kabisa,wife wangu sijambaini hata kdg pungufu jingine zaidi ya wivu uliopitiliza.Sasa nikijilinganisha mm na jamaa zangu na story za vijiweni mara mke mmbea kasutwa/chapombe/mchafu/hajui kupika/mvivu/mchafu n.k mbona mimi najiona nina unafuu maana hakuna aliyekamilika,halafu kibaharia vile akishindwa kunielewa politely basi nadeal naye kindava ilimradi apunguze.
 
Mwache tu akikua ataacha. We usifute msg yoyote hata ya mcheps iache aje aione. Akiuliza kaa kimya...atalia weeee mwisho wa siku simu yako ataoina kituo cha polisi.
Njia ya pili na wewe anza kukagua yake..muulize kila msg hata Kama ya kawaida we muulize tu akufafanulie utaona na yeye anakereka. Ataacha kushika simu yako.
Dawa ya moto ni maji!
Akiendelea huyo mke,basi mchawi
 
Mwanamke ukimdekeza atakushika mpaka makalio, hebu jiangalie na upande wako pengine una makandokando mengi ndomana anabofia togwa lake lisiingie inzi.
 
Kidole cha mwisho mkuu si unapata shida sana kufungua siku yako?? Weka ile eye recognition mpaka jicho liwe limefumbua ndo simu ifunguke
Dawa ni kutoweka dole gumba . Mimi fingerprint nimeweka kidole kidogo cha kushoto sasa mpaka aje apatie ni lini? Na 5 attempts tu simu inajiloki
 
Huyo mkeo atakuwa ni mfupi, wanawake wa aina hiyo wanajifanya wanawivu sana, na wewe mkague simu yake utakuja kugundua kitu.
Aisee nimeamini kuwa 'Samaki mkunje angali mbichi'

Tabia hii niliichukulia kawaida hapo awali Ila sasa nimeichoka. Nikirudi tu toka kazini atakimbilia simu na:

1. Kuangalia sms (kisha atazifuta)
2. Kuangalia calls (na kuzifuta)
3. Akikuta namba ngeni lazima aulize
4. Simu ikipigwa akiwepo huikimbilia na kuiangalia.

Nimechoshwa haka ka tabia. Hebu nipeni muarobaini nimkomeshe na aache upuuzi huu.

NAPOKEA UPONYAJI.
 
Ushauri wangu ni huu ,sajili laini utakayoweza wasiliana na mchepuko ,weka kwenye simu ukiwa kazini tu na unapoludi nyumbani unaitoa ,hizo lakini nyingine mwachie flee afanye anavyotaka.
 
Aisee nimeamini kuwa 'Samaki mkunje angali mbichi'

Tabia hii niliichukulia kawaida hapo awali Ila sasa nimeichoka. Nikirudi tu toka kazini atakimbilia simu na:

1. Kuangalia sms (kisha atazifuta)
2. Kuangalia calls (na kuzifuta)
3. Akikuta namba ngeni lazima aulize
4. Simu ikipigwa akiwepo huikimbilia na kuiangalia.

Nimechoshwa haka ka tabia. Hebu nipeni muarobaini nimkomeshe na aache upuuzi huu.

NAPOKEA UPONYAJI.
Kwa hiyo simu yako imekuwa kiwanja cha maburudisho kwake Fanya hivi weka pass word ambayo akikimbilia huko anagonga mwamba
 
Umeshawahi kum-cheat my wife wako? Umeshawahi kumuonyesha dalili zozote kuwa una mchepuko?
 
Kama ilikua unamcheat lazima akomae sana na cm yako. Au wakati mwingine hajiamini inawezekana ww ni handsome balaa kwa hiyo anakua na was was. Inawezekana yeye akawa anakucheat ana hisi na ww unamcheat
 
Na ww kagua ya kwake...mara nyingi wanawake wanapenda kufanya kitu ambacho wao hawapendi kufanyiwa.
 
Back
Top Bottom