Mke wangu ana CPA hana kazi, msaada Ndugu zangu

Kilemakyaaro

JF-Expert Member
Jul 19, 2016
5,050
5,078
Kama kichwa cha somo kinavyoeleza, mke wangu ni Graduate wa 2017 na 2018 akatunukiwa CPA, kwa kipindi chote alikua anafanya kazi ya temporary ktk kampuni moja kubwa, alifanya poa sana ila kukawa na mikingamo ya kuajiriwa kutokana na roho mbaya za mtu mweusi, akaona isiwe tabu akaachana na hiyo kampuni na sasa yuko home anasongesha mambo madogomadogo. Yuko competent sana kwenye Eneo la Kodi.

Nnaomba kwa mtu aliyeko humu anaeweza kumpa nafasi am sure hatojutia, hakika mke wangu ni Hazina kwenye eneo la Carrier yake hajapata nafasi tu, kwa atakaekua tayari nnaweza mpatia cv yake
 
Ndio Shida ya elimu yetu tunasoma ili tuajiliwe tu... Imagine kama anakuwa na kampuni yake like audit film au finacne advisor Director yeye na chief Finance Officer yeye anakuwa amesave sana..

Pia anaweza kuomba kazi kuwawekea mahesabu sawa kina Mbunge Musukuma Darasa la Saba... ila asiibe tu maana kazi kubwa ya wasomi ni uwizi
 
Mke au mchumba hatafutiwi kazi na ukitaka kujuta maisha we endelea na kampen uliyoianza, unachokitafuta utakipata mbona na utakuja humu humu jf kwa id mpya kuomba ushauri kule jukwaa la mahusiano
Mke akishakuwa na kikazi na vijichenchi authority inapungua, then akikuzidi habari yako imekwisha
 
Kama kichwa cha somo kinavyoeleza, mke wangu ni Graduate wa 2017 na 2018 akatunukiwa CPA, kwa kipindi chote alikua anafanya kazi ya temporary ktk kampuni moja kubwa, alifanya poa sana ila kukawa na mikingamo ya kuajiriwa kutokana na roho mbaya za mtu mweusi, akaona isiwe tabu akaachana na hiyo kampuni na sasa yuko home anasongesha mambo madogomadogo. Yuko competent sana kwenye Eneo la Kodi..
Unaweza kumruhusu awe anafanya kazi mpaka saa nne usiku?
 
Hii ndio wazo lake ila kuna taratibu lazma awe ame practice ndio anaweza fungua firm yake so anatafuta kukua kwanza
Ndio Shida ya elimu yetu tunasoma ili tuajiliwe tu... Imagine kama anakuwa na kampuni yake like audit film au finacne advisor Director yeye na chief Finance Officer yeye anakuwa amesave sana..

Pia anaweza kuomba kazi kuwawekea mahesabu sawa kina Mbunge Musukuma Darasa la Saba... ila asiibe tu maana kazi kubwa ya wasomi ni uwizi
 
Kama kichwa cha somo kinavyoeleza, mke wangu ni Graduate wa 2017 na 2018 akatunukiwa CPA, kwa kipindi chote alikua anafanya kazi ya temporary ktk kampuni moja kubwa, alifanya poa sana ila kukawa na mikingamo ya kuajiriwa kutokana na roho mbaya za mtu mweusi, akaona isiwe tabu akaachana na hiyo kampuni na sasa yuko home anasongesha mambo madogomadogo. Yuko competent sana kwenye Eneo la Kodi
Nnaomba kwa mtu aliyeko humu anaeweza kumpa nafasi am sure hatojutia, hakika mke wangu ni Hazina kwenye eneo la Carrier yake hajapata nafasi tu, kwa atakaekua tayari nnaweza mpatia cv yake
Weka picha yake hapa.
Weka vyeti vyake hapa.
 
Poor African Mentality hiyo, so whaat? Akiwa wa hovyo ni wahovyo tu, hata akiwa mkaa home ataleta wahuni kitandani mwako so fanya kama hujaona hii post sio kuja na hizi akili ndogo, ukitaka kubadili dunia anza kubadili mwanamke
Mke au mchumba hatafutiwi kazi na ukitaka kujuta maisha we endelea na kampen uliyoianza, unachokitafuta utakipata mbona na utakuja humu humu jf kwa id mpya kuomba ushauri kule jukwaa la mahusiano
 
Back
Top Bottom