Hajarudi bado zaidi ya kuja na kuondokaMama Jay bado hajarudi? Unabembeleza?
Kama anakuja na kuondoka ni dalili njema, huyo yupo tayari kurudi anataka tu kubembelezwa.Hajarudi Bado zaidi ya kuja na kuondoka
Na mchaga Mimi nisivyojuaga mapenzi ya kubembeleza ndo msala huooKama anakuja na kuondoka ni dalili njema, huyo yupo tayari kurudi anataka tu kubembelezwa..
Mmmh meku acha jeuri bembeleza mtoto.....😁Na mchaga Mimi nisivyojuaga mapenzi ya kubembeleza ndo msala huoo
Tatizo sio kama sitaki ila hio mnaitaga romaninitick ndio sijanunuaga mama anguMmmh meku acha jeuri bembeleza mtoto.....😁
Hadi natamani ungenipa udalali, nikubembelezee hadi aelewe kabla giza halijaisha mtoto awe amerudiTatizo sio Kama sitaki ila hio mnaitaga romaninitick ndio sijanunuaga mama angu
Keruuh wata wadaslama kila kitu udalali! Au ya kwako Haina pesa?Hadi natamani ungenipa udalali, nikubembelezee hadi aelewe kabla giza halijaisha mtoto awe amerudi
Nini hiyo haina pesa.Keruuh wata wadaslama kila kitu udalali ! Au ya kwako Haina pesa?
Hutonidai kunifanyia udalali?Nini hiyo haina pesa
Ya udalali lazma Mangi.Hutonidai kunifanyia udalali?
Aisey dada angu Bora nimteke tuuYa udalali lazma Mangi.