Huu ndio usenge wenyewe sasa,.Tuna mtoto mmoja nahisi nikiongeza wa pili ni makofi.
Pole mkuu ndio matatizo ya dunia ya leoWakuu habari za kushinda
Naombeni ushauri maana leo nimeshangaa sana mke wangu baada ya kutofautiana kidogo ananiambia niache usenge.
Tuoana tangu 2016 nilipomwoa hana kazi wala kitu. Leo hii anamaisha mazuri nilimpa na mtaji wa biashara.
Tuna mtoto mmoja nahisi nikiongeza wa pili ni makofi.
Naombeni ushauri
Sasa unamwambia nani?Wakuu habari za kushinda
Naombeni ushauri maana leo nimeshangaa sana mke wangu baada ya kutofautiana kidogo ananiambia niache usenge.
Tuoana tangu 2016 nilipomwoa hana kazi wala kitu. Leo hii anamaisha mazuri nilimpa na mtaji wa biashara.
Tuna mtoto mmoja nahisi nikiongeza wa pili ni makofi.
Naombeni ushauri
Mle ndogo ajue ww si msengeSasa unamwambia nani?
Kazi kudeka tu.
Hahaha, hatari sana.Mle ndogo ajue ww si msenge
Nyooof sasa unamsaidia au unamwangamiza mkuu π€£π€£π€£π€£Humkwich kwich vizuri,hebu piga maashine,mzalishe mfululizo,acha uzungu.miaka yote MNA MTOTO mmoja tu?
Atakutukana Sana ttu,wanawake hawataki uwaendeshe kisharobaro,kilokole au kiustadhat sana,mwanamke inatakiwa umdrive kijela jela,kiasi kwamba ukikohoa tu,anakuja mbio eti baba nanihii unaniita?
Badilika boss,acha uzungu,sisi waafrika
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],, na kweliiHuu ndio usenge wenyewe sasa,.