Phd Hewa
JF-Expert Member
- Oct 3, 2016
- 572
- 466
Kama kichwa cha habari kilivyo mke wangu anakataa kunipa tendo la ndoa bado sababu sijaijua ila kuna maongezi fulani niliyakumbushia ambayo yalishapita hapo zamani sasa sijui hiyo ndiyo sababu mana hata nikimuuliza anijibu juzi niliomba penzi akanipa kishingo upande ukweli sikuridhika jana ndiyo kaninyima kabisa ushauri nifanyaje mana mimi ni mume wake halali na yeye ni mke wangu halali.