tajiri wa mwanza
Senior Member
- Mar 1, 2017
- 138
- 226
Habari wana bodi,
Mke wangu ana tatizo tukifanya mapenzi sasa akiwa anakojoa huwa anazimia na kutetemeka kama nusu saa hivi sielewi nkimuuliza anasema huwa anapata raha ya ajabu, sasa sijui hili ni tatizo au?
Msaada wenu wakuu.