Damian J Ntundagi
JF-Expert Member
- Jun 28, 2017
- 1,633
- 2,297
Watu mnamajibu
Watu mnamajibu
Baba ambaye unalea mtoto usiye na uhakika kuwa ni wako au la.Hii "social father" ndio nini ndugu yangu?
Sawa mkuu.Baba ambaye unalea mtoto usiye na uhakika kuwa ni wako au la.
( nimemnukuu kiongozi mmoja pale bungeni)
Hakuna mzazi mkuu na mzazi msaidizi acha ubimbo.Hakuna ndugu yako kati yao, wote ni wazazi. Baba ni mzazi mkuu (ndiye aliyetoa mbegu kupitia maumbile yake), Mama ni mzazi msaidizi (Ndiye aliyepokea mbegu na kuifanyia mchakato kupitia maumbile yake ya tumbo)
Hakuna mzazi mkuu na mzazi msaidizi acha ubimbo.
Ni kweli 81%
Ukitaka kuthibitisha hili kaa na mkeo baada ya kumuoa kisha mpachike ujauzito Mungu awajalie mpate watoto/mtoto wenu mzuri kbsa kisha anza kuangalia ule upendo wa mkeo kwako upo kwa kiasi gani,kama ilikua kila ikifika saa 1 kamili usiku anakupgia simu
kaku miss urudi nyumbani,this time around hutoona simu na kama akipga basi haitokua tena saa 1 kamili,muda utasogezwa hadi saa mbili hivi na hiyo sio unapgiwa kwasabbu mtu kaku miss ila unapgiwa kwasababu "kaanza kuogopa usiku umeingia"
Kadri mnavyoongeza watoto ndio jinsi uthibitsho unatokea kuhusu wewe na mkeo,kwa ufupi Mke ni ndugu yako kama tu Hamtobahatka kupata watoto na ukawa upande wake kwa kila hali.
ila mkipata tu watoto,habari yako kwisha na tena usipokua baba wa kumezea na kujishusha ndoa inavunjika anytime baada ya nyie kupata watoto. "chukua hiyo"
Hata hivyo haibadiri ukweli siku mwanaume ukiamua kuoa umepoteza uhuru wa maisha yako katika maeneo yote hata mtu wa kumtia mimba mkeo
Naomba uniambie maana yake, ukishindwa hapa pasi nitumie PM nitaona.Upareni hilo neno ni tusi kubwa sana. sawima ni mpare purely na anajua...
Heshimu mawazo ya kila mtu, hata kama ni tofaut na yakwako.Wewe utakuwa mtoto!
Umemjibu kwa hekima kubwa sanaHeshimu mawazo ya kila mtu, hata kama ni tofaut na yakwako.
"Ubimbo" ndiyo nini!!?
Wakati mwingine ni vizuri kutafakari kabla ya kujibu, ukiwa unajibu kwa mazoea utajiondolea hekima. Hakuna binadamu wawili ambao wanaweza kuwa sawa kwa kila kitu, hata mapacha waliozaliwa siku moja lazima kuna mkubwa na mdogo sembuse mke na mume!!!
Ndio kwani uongo.Aisee.
Kwani tunazungumzia mke na mume au wazazi.
Hakuna mzazi mkuu na mzazi msaidizi, period!
Pamoja na kwamba hatujuani, lakini majibu yako yanaakisi wewe ni mtu wa aina gani. Ngoja niishie hapa nisije nikaandika zaidi bila kujua ninaemundakia ana uwezo wa kunizaa.
kidumu chama japo kina waoga ingawa kipo na kila kituUnapopingana na JPM jiandae kujibu maswali yafuatayo kutoka kwa Watanzania UMEME: Ukipingana na JPM watanzania watakuuliza unataka tusipate umeme wa uhakika utokanao na Bwawa LA Nyerere yaani unataka tusipate megawati 2115 za umeme unataka tusiwavutie wawekezaji.