never Se me
JF-Expert Member
- Feb 7, 2018
- 702
- 1,013
Unaweza ukawa na mwanamke mzuri ila mwenye kiburi, jeuri sio kesi sana sababu anaweza badilika.
Nivipi ukiwa na mwanamke mzuri na uwezi kumtumia kisa tu una upungufu wa nguvu za kiume. Hapa lazima uchanganikiwe kama mwanaume.
Acha nikupe kisa jinsi nilivyomla mke wa jamaa wa wizara fulani hivi.
Ilikuwa mwaka 2018 hivi nilikutana na classmate wangu mdada flani ni mzuri sana, yani naisi matunzo yalichangia pia kifupi alikuwa smart, kifupi alikuwa ni pisi kali.
Basi story zikawa ni zile moments tukiwa shuleni, vicheko vilipamba pale nilipomkumbusha alikuja class ananuka mkojo...wee alicheka sana na kuniambia usahau tu...tufupishe story za apa, tuliexchange namba.
Baada ya siku 3 binti alinipigia, story nyingi sana. Ni mcheshi sana, alinitambulisha ana watoto wawili (pacha) girls. Basi ikawa ni story mara kwa mara, kuna wakati tukakutana weekend.
Wakati wote nikiwa naye, sikwai mgusia kuhusu mume wake. Ila nilikuja kugundua binti alikuwa anaforce kuwa na furaha. Ndani ya ucheshi wake na tabasamu lake, uzuni pia ulionekana.
Nakumbuka Jumamosi hivi alinicheki akaniambia yupo hoteli apo Sinza, nikiwa na time nifike apo. Alichukua muda, nilifika home, ilikuwa ni Shekilango.
Nilipofika alikuwa kama mtu mwenye wasiwasi, akaniambia hawezi ongea na mimi kwenye bar, apo hoteli alikuwa amechukua chumba.
Kufika chumbani, bidada alinivamia mwilini. Gafla mabusu...nikuambie kitu Jessica alikuwa anachuchu nzuri, tako la kishikaji, unazani ninge chomoka, basi bhana niliichapa, usiulize nini, ila ilichapika kisawasawa.
Tufupishe story tu, baadaye sana Jessica aliniambia anatamani mumewe awe mtu wa show show kama mimi, ila ndio hivyo tena, mumewe ni mtu ambaye akipiga kimoja ni usingizi, zinapita siku 5 ndio inasimama.
Bidada alitoa machozi, ukweli ukisema hafurahii kumsaliti mumewe, kama mumewe angekuwa fit asingesaliti ndoa.
Karoho ka huruma kaliningia kidogo, sikutaka maneno mengi, nikamwambia jioni nitakupa dawa ninayotumia ukampe mumeo, utakuwa fit kama mimi.
Siku zote bidada akujua kazi yangu kumbe mimi nauza mizizi ya kikubwa...wazee wenzangu mumenielewa apa...
Jioni nikaona na Jessica nakumpatia kopo la mizizi iliyo sangwa...nikamwambia mumeo atu iyo dawa utanishukuru...
Zilipita wiki mbili ivi..nilipigiwa simu namba ngeni, siku zote napokea namba ngeni wateja wa dawa, ila hi ilikuwa tofauti kiupole kabisa jamaa akajieleza "Naitwa Flani ni baba wa wili, mke wangu ni Jessica, daaaaaaa nikajua kime waka.
Nashukuru kwa dawa uliyompatia mke wangu kiukweli imesaidia sana, wakati wote nilikuwa naogopa kutafuta tiba nikiona aibu, ila nashukuru mke wangu amepambania ani nimepona, ahsante sana."
Basi toka siku iyo ukawa mwisho wa kumnyandua Jessica, kila niomba sipewi, nambiwa baba wa wili kila siku anaichapa...