Mke wa Yusuph Manji apata kichapo

Mke wa Yusuph Manji apata kichapo

Ng'wanza Madaso

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2008
Posts
2,268
Reaction score
338
Mke wa Yule fisadi papa Yusuph Manji amejikuta akipokea kichapo kutoka kwa mumewe baada ya kukutwa akiangalia kipindi fulani kutoka ITV, Kwa madai kuwa hakuna mtu yeyote katika ile familia anaruhusia kuangalia,kusikiliza ama kusoma habari yoyote kutoka IPP.
Nawasilisha.
 
Duh...naona ameamua amalizie hasira za kifisadi kwa mkewe......lakini.....hiyo sio freshi....kumkatalia kuangalia IPP TV...!!!
 
Wewe tuliza kitenesi wakati natumia haki yangu ya kikatiba ya ku-post kile ninachokiona ni sahihi. Sawasawa?

haki yako ipi bana wee, vipi mbona unanifuata fuata na avatar yangu, wakati nami ni haki yangu, mkuki mtamu kwa nguruwe ila kwako ndio mchungu, grow up
 
ChaMtuMAVI, sikujui hunijui sikujui hivyo habari za kusema nakufuata ukome. My wife wangu akipita hapa na kusoma madai yako huoni utanisababishia matatizo? Kuhusu avatar yako, nimetoa maoni yangu, kama ni ya msingi yatafanyiwa kazi. Na wewe unaruhusiwa kutoa yako. Ndio demokrasia hiyo.
 
wenye wake zao wamepumzika, nakama ni kuexercise demokrasia naona somo la demokrasia lilikushinda, demokrasia inaapply both sides, si kwa nguruwe tu hata kwa binadamu inaapply, kwa hiyo acha mkeo aje aone unavyonifuata fuata na avatar yangu, ndio atajua kuw ani vitu gani unapendelea

yaani umeona avatar yangu tu, ukaishia kuja na vioja, umelikoroga na sasa utalinywa
 
Bwa ha ha ha..
 
Inaonekana nyie mlinyimana kitu huko bar, vinginevyo thread inayomhusu Manji msingeigeuza kuwa yenu tu.
 
are you sure manji akisoma hii utalipa fidia ya 1/=
 
Back
Top Bottom