Is that a big deal?
Njowepo, 'age ain't nothing but a number', tuacheni mambo ya uzungu, mbona sisi Wasukuma tunatengeneza watoto mpaka at 70!, JK is just 50! mbona ni kijana tuu?. What's a problem?!, baba anacheza na mwanae kama babu.To me that has an impact ktk mengi tuu!
JK At the age of 50+ unazaa mtoto jamani huo ni umri wa kulea wajukuu!
Lazima tuwe strategic ktk ilo na sio kuwa myopic.
Kama kweli hongera zake angalau atulie budget ya misafara itapungua ingawa kwe mwenzie itakuwa ndo ruksa!
Jamani mna mponda bure mwanzilishi wa thread,kwa status ya yule mwanamke mbona hiyo inatosha kuwa habari!!!,Angekuwa Michelle Obama ndo ana mimba watu mngechangia positively.
Mtaani kuna uvumi kuwa festi ledi ana kibendi, waungwana wenye macho yenu ya utambuzi mnaliongeleaje hili?
Mtaani kuna uvumi kuwa festi ledi ana kibendi, waungwana wenye macho yenu ya utambuzi mnaliongeleaje hili?
Sioni cha ajabu First lady kupata mimba, Mama Blair aliwahi kujifungua mtoto wakati Blair akiwa PM, PM wa sasa David Cameron mkewe anatarajiwa kujifungua mwaka huu pia. So, sio issue.
Issue hapa, tumuombe mama yetu wa Taifa akajifungulie pale Mwananyamala ili ile wodi ya wazazi ipate kipaumbele kama barabara zetu zinavyopata attention mkuu akitaka kupita.
Mbona watu walishaliletaga hapa!,ilo ni la siku nyingi tu.Uzuri mimba haijifichi,na ukiificha hautaficha mtoto.Hata hivyo sheria haimkatazi rais aliyeko madarakani kupata mtoto.
Mtaani kuna uvumi kuwa festi ledi ana kibendi, waungwana wenye macho yenu ya utambuzi mnaliongeleaje hili?
Jamani mna mponda bure mwanzilishi wa thread,kwa status ya yule mwanamke mbona hiyo inatosha kuwa habari!!!,Angekuwa Michelle Obama ndo ana mimba watu mngechangia positively.
Do you think kwamba madaraka yanakuondolea haki yako ya kuzaa....??? VERY FUNNYKubeba mimba siyo tatizo, kama ana mimba amechemka tena sana. baada kufanya yalimweka madarakani anaenda kuzaa??
Inashangaza though we are not sure.
Joyce