Ngumu kumeza
JF-Expert Member
- Jun 19, 2012
- 577
- 354
Wamekuwa kwenye ndoa kwa miaka 8 na wana watoto 2...Ilitokea mtafaruku baina yao uliyopelekea mke kuondoka nyumbani kwa mume wake na kwenda kwao kupumzika...
Taratibu za mazungumzo ya kuwasuluhisha zimeshaanza na mda si mrefu mke atarudi kwake..Mke akiwa kwao akapata kazi kwenye shirika lingine tofauti na lile alilokuwa akifnyia kazi...
Kufika kule kwenye lile shirika kuna rafiki yangu na yeye anafanya kazi kule ,yule mke wa jamaa hajui kama yule jamaa anamfahamu..Jmaa akaja akaniambia nimemuona mke wa rafiki yako kaingia kwenye shirka letu kama mhasibu muhasibu pale.
.Kwenye shirika lile kuna jamaa ambaye yeye ni muathirika wa virusi vya ukimwi ambaye mke wake alishafariki sasa huwa anafanya kama makusudi kuambukiza na huwa anatangaza kuwa mwanamke akaijichanganya anampa jamaa aliethirika ni financial controller hivyo wapo ofisi moja na huyo mke wa rafik angu ..
Sasa jamaa amekuja kaniambia huyo Financial kamwambia na kwa ushahidi wa picha kwamba last wkend toka ijumaa alikuwa na yule mke wa jamaa angu kwake na kapiga bila hata kinga..
.Na kuanzia jtatu jamaa anasema wanaenda lunch pamoja kwa kutumia gari la huyo FC anaacha lake prking...Nataka nimweleze rafiki yangu kuna tetesi wife wako ana uhusiano na jamaa ambaye kuna uwalakini kwenye afya yake hivyo hata mkirudiana hakikisha mnaenda pima afya kwanza kabla hamjafanya chochote..
Na tafakari sijui huyo rafiki angu atapokeaje swala hili ila nimeamua kwa namna atakayopokea mimi nitamweleza tu..
Hiyo ni mezi 3 tangu siku ya kudo ya mwisho. Hivyo anatakiwa apimwe si siku ya kuonana ila baada ya miezi 3Mwambie kabla hawajarudiana wakapime ngoma
Bora amchane bila chenga hii tabia ya kuzungukazunguka inaweza sababisha jamaa akapuuzia ikala kwakekatika suluhu ya kurudiana mwambie tu rafiki yako ni bora mkapima kwanza kabla ya kuanza kufanya tendo si lazima umweleze kuwa mkeo ametembea na mwathirika ..... ila kama akitia ngumu mwambie pia wanawake wa siku hizi si wale wa zamani ambao ni wavumilivu wengi wanagawa tu bila aibu.. jamaa yako ajiongeze apime asipo fanya hivyo shauri yake
mkuu jashmoe32 umemaliza kila kitu.Kama ni kweli rafiki yako then utamuambia bila uoga wowote ila kama wewe ni rafiki mnafiki then hautomuambia
Mwambie unangoja aambukizwe ujilaumu?Wamekuwa kwenye ndoa kwa miaka 8 na wana watoto 2...Ilitokea mtafaruku baina yao uliyopelekea mke kuondoka nyumbani kwa mume wake na kwenda kwao kupumzika...
Taratibu za mazungumzo ya kuwasuluhisha zimeshaanza na mda si mrefu mke atarudi kwake..Mke akiwa kwao akapata kazi kwenye shirika lingine tofauti na lile alilokuwa akifnyia kazi...
Kufika kule kwenye lile shirika kuna rafiki yangu na yeye anafanya kazi kule ,yule mke wa jamaa hajui kama yule jamaa anamfahamu..Jmaa akaja akaniambia nimemuona mke wa rafiki yako kaingia kwenye shirka letu kama mhasibu muhasibu pale.
.Kwenye shirika lile kuna jamaa ambaye yeye ni muathirika wa virusi vya ukimwi ambaye mke wake alishafariki sasa huwa anafanya kama makusudi kuambukiza na huwa anatangaza kuwa mwanamke akaijichanganya anampa jamaa aliethirika ni financial controller hivyo wapo ofisi moja na huyo mke wa rafik angu ..
Sasa jamaa amekuja kaniambia huyo Financial kamwambia na kwa ushahidi wa picha kwamba last wkend toka ijumaa alikuwa na yule mke wa jamaa angu kwake na kapiga bila hata kinga..
.Na kuanzia jtatu jamaa anasema wanaenda lunch pamoja kwa kutumia gari la huyo FC anaacha lake prking...Nataka nimweleze rafiki yangu kuna tetesi wife wako ana uhusiano na jamaa ambaye kuna uwalakini kwenye afya yake hivyo hata mkirudiana hakikisha mnaenda pima afya kwanza kabla hamjafanya chochote..
Na tafakari sijui huyo rafiki angu atapokeaje swala hili ila nimeamua kwa namna atakayopokea mimi nitamweleza tu..
Mwambie sasahiv muda juu jamaa etu maana ukichelewa tu na jamaa utamuua ndg tena fanya upesi kama huna huna nauli tukuchangie ukamwambie leoleo wanawake wa kileo ni pasua vichwa pengne yy ndo alimvuruga jamaa etu ili aende kupokea zawadi ya maradhi then amletee mmewe.Ee mola tusamehe Ss wakosefu!Ni bora amuojoe na janga iloo
Naona umeamua kuvunja ndoa ya rafiki yako! mambo ya Ngoswe mwachie mwenyewe!
Obvious mkitengana mtu.akirudi wapime.lakini asimwambie habari ya yule dada kuchepuka na mwathirika.je wakipima na asipokuwa na maambukizi huyo aliyepeleka habari ataaminika bado?Ni swala la uhai wa mtu..huoni kama akiacha hii kitu itamtafuna sana?
Obvious mkitengana mtu.akirudi wapime.lakini asimwambie habari ya yule dada kuchepuka na mwathirika.je wakipima na asipokuwa na maambukizi huyo aliyepeleka habari ataaminika bado?
jf bhana,kuna watu mnavituko hadi raha! wewe hutaki kujadili mada unataka kumjadili mleta mada! hatari....Manuu uje ujibu tuhuma hapa[emoji12] [emoji2] [emoji3] [emoji1]mleta mada, kabla ya kumtonya rafiki yako, nakushauri ungeenda kwanza kupima afya yako. unaweza kuwa bize na afya za watu kumbe yako pia inamgogoro.