atoe tu na waachane tu kwani hapo naona ushetani tu umetawala.wewe waombee tuJamani nimepokea simu ya malalamiko ya shemeji yangu, mke wa rafiki yangu akilalamika hali ya maisha yao na kibaya zaidi anatamani akatoe mimba ya mshkaji kisa jamaa hana kazi.
Yeye ndo kaajiriwa kwenye secta nzuri ila anaona kama mzigo utakua mkubwa, akiwa na watoto wawili wakati yeye ndo mtunzaji wa familia.
Ushauri wa kumpa wadau maana anaonekana amekata tamaa sana.
Mwambie akafunge fallopian tubes kabisaJamani nimepokea simu ya malalamiko ya shemeji yangu, mke wa rafiki yangu akilalamika hali ya maisha yao na kibaya zaidi anatamani akatoe mimba ya mshkaji kisa jamaa hana kazi.
Yeye ndo kaajiriwa kwenye secta nzuri ila anaona kama mzigo utakua mkubwa, akiwa na watoto wawili wakati yeye ndo mtunzaji wa familia.
Ushauri wa kumpa wadau maana anaonekana amekata tamaa sana.
Jamani nimepokea simu ya malalamiko ya shemeji yangu, mke wa rafiki yangu akilalamika hali ya maisha yao na kibaya zaidi anatamani akatoe mimba ya mshkaji kisa jamaa hana kazi.