Ukishamchakachua mke wa rafiki yako pia utarudi hapa kutuambia au kututaka ushauri?Hii ni kweli kwa ufupi tu ninae rafiki yangu tulisoma pamoja na mungu akajaalia hata kazini tupo pamoja mwenzangu amebahatika kuwa mimi nilikua mpambe wake ktk haruc ila hivi sasa mkewe anaonesha ishara za kunitaka hata messege za mapenzi baadhi ya cku ananirushia na kumwambia mumewe cwezi na kutofika kwa rafiki yangu pia ngumu nifanye nini."HII NI KWELI."
again, why people marry?
Hii ni kweli kwa ufupi tu ninae rafiki yangu tulisoma pamoja na mungu akajaalia hata kazini tupo pamoja mwenzangu amebahatika kuwa mimi nilikua mpambe wake ktk haruc ila hivi sasa mkewe anaonesha ishara za kunitaka hata messege za mapenzi baadhi ya cku ananirushia na kumwambia mumewe cwezi na kutofika kwa rafiki yangu pia ngumu nifanye nini."HII NI KWELI."
Yanini kula mke wa watu na visichanaa vizuri zuri kila kona-aa kama nilikula wake za watu basi lazima ilikuwa bahati mbaya na kulikuwa hakuna babe kwenye face book-hahaha.wewe hujawahi kula mke wa rafiki yako?
halafu mangeka yupo wapi aisee?????
Hivi saa hizi saa ngapi vile!? Nawahi bar! Wasijekuongezea maji buree!
sababu ya michango
let her go.. ujui mke wa mtu ni sumu..
again, why people marry?
Inawezekana wewe una matatizo ya kiakili ndo mana ukawa na mawazo kuwapanda wake wa marafiki zako.