Mke wa Pili...

Mentor, nauli ya kukurudisha kule kijijini nnayo! Unataka kuondoka lini?
 
Tatizo halipo kwenye idadi ya wanawake, tatizo lipo kwenye chaguo la wanawake! kuhusu vidumu ni tabia ya mwanamke tu, kuna kesi nyingi tu za wanawake kuwa na vidumu licha ya kuwa ni wake pekee katika ndoa! Wanawake wa kweli ni wale wanaowavumilia waume zao na kuweza kuyazuia matamanio yao hata ikiwa mwanaume ana matatizo, au kasafiri n.k. Na hili la mwisho linawahusu wanaume pia!
 
Ah!

Kimsingi siungi mkono suala la kuoa mke wa pili kwa sababu kosa halisahihishwi na kosa

Lakini wakati mwingine ni bora kufanya kosa ili kujisafisha[japokuwa sio sahihi]
 
usinimabie..........Alfred kafiwa na mkewe............uuuwi lini!?!?!?!
ngoja nimpigie nimpe pole!!!

Kila nikikuona kuna kitu nakumbuka

Tasavali usiniulize ni nini kwakuwa sitakuambia!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Unajua katika maisha pindi unapokuna na changamoto ndipo unapojua ama kubuni mbinu za kuondokana na hizo changamoto husika, kumbe basi Mzee Chande asingekumbana na changamoto ya kunyimwa unyumba na mkewe kupitia kivazi cha jeans hakika hadi asingekuwa anajua umhimu wa wake zaidi ya mmoja.

Kuna msemo unasema mtu hupimwa pale aliposimama wakati wa changamoto na si pale aliposimama wakati wa raha.

Mkuu Mentor kuna mdau ameuliza utakuwa tayari lini kurudi kijijini ili aweze kughalimia safari yako, lengo apate kujua kisa kizima juu ya Mzee Chande.
 
Last edited by a moderator:
Owwwkey.

Mke mdogo lazima alizingua baada ya kujua kwamba alipatikana kwa jeuri ya mke mkubwa. Baba akaamua kuonyeshea kwa kumletea na yeye mdogo wake.

Cc: Mokoyo na wote mnaotaka stori imaliziwe..


Mentor huyo mzee alikuwa anazungumza mambo ya ndani kabisa ya familia yake mwenyewe mbele za watu tena kwenye msiba? Ulijifunza nini kupitia maelezo yake huyo mzee?

Nilijifunza mengi mkuu! Kwanza kuoa ni kuongeza shida tu kama unaeza kaa mwaka mmoja hujapewa mzigo wakati mi sijaoa na kila mwezi nina uhakika...y marry!???

Dawa ya mwanamke mwanamke mwenzie,

Ahahahah Mkuuu from experience ama umetohoa somo kutoka kwenye hadithi...

hiyo ndio maana yake haswaa, mkileta jeuri tunavuta wa pili, wa pili naye jeuri tunavuta wa tatu mpaka mkome, chezea vidume wewe. Hongera Mzee Chande

Mkuu Mentor umetisha, tafadhali malizia hako kastori kana uhondo balaa

Msome Lizzy hapo juu.

Mentor, mzee wa mila nipo, usinisahau

Tupe experience ya wazee wetu bwana Bujibuji, was mzee Chande right!??

Kwa wakati huu nikujitakia matatizo tu,,,mke mmoja ni bora zaidi,,,maana mke zaidi ya mmoja ndio chanzo cha ushirikina baina ya wake zako,,kugombania mali na mwishowe kutolewa roho...kuepuka yote hayo mke mmoja ni bora zaidi

I doubt!

Jestinaaaaa...be real! wake wengi raha bwana. A akiumwa waenda kwa B. B akiwa safarini unahamia kwa C. C aliwa analea unahamia kwa D. D naye akianza safari A anakuwa keshapona. Hapo kutoka nje ni NIL>

usinimabie..........Alfred kafiwa na mkewe............uuuwi lini!?!?!?!
ngoja nimpigie nimpe pole!!!

Ahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahaha umenchekeshajeeeeeeeeeeeeeeeee..

mmmh napita tu naona hapa mmeweka bao mnacheza na kupigishana story za hadithi hadithi.....:tape:

Jifunze neno mdogo wangu...
 
Last edited by a moderator:
Kastori katamu. Nimegundua wanawake wengi hupatwa na viburi na vitabia vya ajabu ajabu wakigundua wanapendwa; sasa inapotokea mume kaoa mke wa pili hujanjaruka na kurudisha mapenzi moto moto; ona kama huyu alivyoacha kuvaa kijinsi na kuvaa kanga moko! wazee wengi wa zamani walioa mke wa pili si kwa mapenzi bali ni kutokana na vitabia vibovu vya wake zao wakubwa ambao baada ya kupata mke mwenza hujirudi na kumuacha mzee njia panda. Kazi kwako Mentor
 
Last edited by a moderator:

Na vitabia vibovu vya wanaume wanawake nao wafanyaje? au ndio watafute mpango wa kando ili kupunguza stress. sioni kama kuoa mke wa pili ndio suluhisho.
 
Last edited by a moderator:
Na vitabia vibovu vya wanaume wanawake nao wafanyaje? au ndio watafute mpango wa kando ili kupunguza stress. sioni kama kuoa mke wa pili ndio suluhisho.


Sasa kama wewe unamnyima mumeo kwa kumvalia kikombati unategemea nini? atatoka nje na kwa kufuata utaratibu wa dini inayoruhusu wake wengi basi anaoa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…