Mke wa Mzungu ananitaka, nifanye nini? (True Story)

Mke wa Mzungu ananitaka, nifanye nini? (True Story)

Umepataje kazi bila ya kuwa na work permit? Wmekukubalia kukupa kazi kabla ya kupata work permit? Kivipi?
Please refer international vacancies,
Unapewa offer letter kusaini then hiyo offer letter inapelekwa MOL kucheki kama inaendana na utaratibu wa kazi kulingana na sheria za nchi pia na makubaliano yenu lakin inapekekwa baada ya kufanya hichi nilichoeleza chini,
2. Pili shughuli inayofuata ni kupelekwa medical examination,
Kumbuka imekuwa stated kwenye sheria za nchi kuwa ukikutwa na magonjwa hatarishi wanasitisha process za kushughulikia work permit, instead unakuwa deported kurudi uko Tz,
Kama uko safi majibu yanapelekwa ministry of labor ili upewe working permit , ambayo itakusaidia resident permit pia,

Huwezi kufanya kazi bila visa , ila unapata kazi kabal ya kuwa na working visa, ambayo unapopata kazi wanasitisha ile entry permit uloingilia kama tourist ndo unapata working visa au permit
 
I see in Singapore you must have a job offer before you get work permit.
 
Ungekua bongo ningekwambia usimgegede maana vilainishi ni marufuku ila uko ulipo we tafuna tu bi Mkubwa siku ukifumwa vitakusaidia kupunguza friction
 
Pole ndugu hali hiyo imewakuta vijana wengi yaani unaona huyo ndo kashika funguo ya mafanikio yako nae anataka umtimizie haja zake ukikataa imekula kwako ukifanya ndo hivyo ni dhambi na sio malipo mema kwa kijana aliekuhifadhi kumbe kabeba nyoka na kumpa unga.
Ni mazingira magumu sana na hasa unapofanya bila ridhaa yako jitahidi kumuwekea vikwazo vya hapa na pale ili supu usiitie nazi.
 
Una nyota ya wake za watu mkuu. Maana kabla hujaondoka bongo ilikula mke wa balozi. Ila next time punguza details kwenye post zako unawa expose sana wahusika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ongea na maza upange kiji-room au apartment kutumia hiyo $1000 ili uondoke hapo nyumbani mwanae mdanganye unaenda mji mwingine kuna kazi unafuatilia. Hayo mambo uwe unafanya nae nje na nyumbani kwake. Ukiwa stable unampotezea kidogo kidogo. Usiendelee kufanya nae hapo kwake siku ya siku faza house atarudi usiku atakufanya kitu mbaya.
Badala mkamchangie mmtumie hela mna mpanikisha, hii stroy apewe ray kigosi haha
 
Back
Top Bottom