Mke wa mtu

Njia kuu ya mwenzio ndo chepuko lako
Na mwanaume wa ukwel haogopi mwanaume mwenzie
 
Kama umechonga mzinga ahirisha kuutundika manake episode zinazofuata hutaziona.....
 
You never knew she was married in the first place so hapo kwa umbali it was not your mistake but now that you know, run for the hills mkuu!!
 
Muosha uoshwa kuwa tayari kuliwa tigo na mabaunsa na kuhama mtaa pia
 
Acha woga mkuu, kwenye katiba mpya tutaweka kifungu cha kuruhusu kula mke wa mtu
 

sasa kinakushinda nini kuimwaga hiyo asali? au ndio mzinga uliouchonga umekunasa kwa ulimbo? ikiwa hivyo wee endelea kufaidi hiyo asali huku ukisubiria maumivu tu
 
Mkuu hakikisha muda wote unatembea na na kile kikopo kidogo cha VASELINE.


Sent from my iPhone using JamiiForums mobile app
 
siku hizi unaliwa tu mzigo na picha zinapigwa after tukio, piga chini kaka kabla tabia

haijawa sugu
 
We wachana na iyo mambo ww tazama kwanza kandanda Algeria inaongoza bao 3 - 0 kipindi cha pili ndo kinaanza sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…