Mke wa mtu

dawa ya wote wanaopenda vya watu hiyo

kila nikiona jina lako nataman kukurushia bom kwa kunifunkuzia Vaislay wangu mtoto wa motooo! Halafu ananataaa! Utataman utembee naye mda wote
 
Last edited by a moderator:

Wewe umekuwa ni mtu Mwenye kutojipenda... Umekuwa ni mtu Mwenye kudharau matukio kama ya kina ufosaro na Mushi au kama haya....!!!
 

Attachments

  • 1403445396135.jpg
    60.1 KB · Views: 248
  • 1403445430422.jpg
    51.2 KB · Views: 245
Niagieni niagieni,niagieni na rafiki zangu,,ninakwenda kwa .....
Sitarudi milele yote,niagieni,niagieni!

Huo wimbo unakuhusu,kuepusha ugomvi wa kifamiliya baadaye unaweza kuandika wosia kabisa!
 
wadau hivi musoma mjini dadapoa wanapatikana wapi?

Ile njia ya night club ya moden, we pita mishale flani hiv utajibebea mzigo.


Sent from my iPad using JamiiForums
 
mhhh mwambie tu ukweli kuwa huwezi kuwa naye kutokana na sababu ya kuwa ye ni mke wa mtu na hupendi matatizo:A S 11::A S 11::A S 11:
 
cha mtu mavi na kinauma ukikuta mtu anakitumia ovyo,dah ngojea uone mwisho wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…