Kweli kabisa kiongozi. Kwanza huwa wanakuwa na emotional baggage and they are usually clingy. All these women, why bother with another man's wife? It is simply not right.
Tafuna mnofu huo, mwenzio kakumiss unambwela mbwela nini sasa?
Tafta chimbo zuri then kamtafune kwa uzuri kabisa!
Kwa ndoa za sikuhizi hakuna asiechapiwa period!
Msijifanye kumkalipia mshikaji wakati wengi wenu mnaongoza kwa michepuko!