Mke wa mtu

hmm!

mwanaume kutegeka ni rahisi sana! tena mno!

nakushauri kitu, kama sms tu zinakudrive hivyo, basi usije ukapokea simu yake hata mara moja!

trust me, ukiendeleza mazoea, ipo siku utamgegeda unknowingly!

ishawahi kunitokea hio kwa mrembo fulani.. speaking from experience.
 
That is golden chance kaka............never come twice
 
We piga kimya, usijibu msg zake tu basi. Kama ana akili au hata chembechembe za aibu ataelewa.

Au ukiona unataka kumjibu mwambie huna haja ya kukumbushia chochote maana we unae anaekuridhisha (hata kama huna). Kama mumewe hamtoshi akatafute kwingine na sio kwako.
 
Mke wa mtu sumu kama nyumbani kwako kuna panya
take care
 

zero minus kabisa, kama ulikuwa baby wake mbona kaolewa na mwingine?
 
M2 Huliwa Na M2 Na Chuma Huliwa Na Ku2 Bt Daah!Ucjarbu Kwan Mke Wa M2 Sumu Mkaka Ucje Ukaangukia pua B'cre
 
Ni ngumu sana kujifunza kabla halijakukuta janga.Likikukuta janga utajua namna nzuri ya ku-deal naye tena kipindi hiko utakuwa na msimamo kwelikweli.
 


MPOTEEEZEE TU: SHINDA MAJARIBU NA VISHAWISHI....same issue imenikuta hiyo sasa...anataka nimbebeshe uja wa uzito...hawa watu si jui nini aisee.....dawa ni kumpotezea tu, ukimchekea tu utakuja adithia mengine hapa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…