BADILI TABIA JF-Expert Member Joined Jun 13, 2011 Posts 32,766 Reaction score 23,217 Oct 5, 2012 #121 Preta said: leo umezifumua thread za miaka 47.......ni nini...? Click to expand... utafiti. Nimegundua yote yanayojadiliwa leo yashajadiliwa, na nikagundua Nyamayao na Fidel80 walikuwa wataalam wa kuchakachua thread za wenzao! Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Preta said: leo umezifumua thread za miaka 47.......ni nini...? Click to expand... utafiti. Nimegundua yote yanayojadiliwa leo yashajadiliwa, na nikagundua Nyamayao na Fidel80 walikuwa wataalam wa kuchakachua thread za wenzao!
Kaizer Platinum Member Joined Sep 16, 2008 Posts 25,329 Reaction score 17,855 Oct 5, 2012 #122 BADILI TABIA said: utafiti. Nimegundua yote yanayojadiliwa leo yashajadiliwa, na nikagundua Nyamayao na Fidel80 walikuwa wataalam wa kuchakachua thread za wenzao! Click to expand... Bora umegundua BADILI TABIA kwamba hakunaga jipya yote tumeshayazungumzaga miaka hiyo. sema watu hawafanyi utafiti haya Asprin ako wapi? Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
BADILI TABIA said: utafiti. Nimegundua yote yanayojadiliwa leo yashajadiliwa, na nikagundua Nyamayao na Fidel80 walikuwa wataalam wa kuchakachua thread za wenzao! Click to expand... Bora umegundua BADILI TABIA kwamba hakunaga jipya yote tumeshayazungumzaga miaka hiyo. sema watu hawafanyi utafiti haya Asprin ako wapi?
snowhite JF-Expert Member Joined Aug 2, 2012 Posts 18,422 Reaction score 25,320 Oct 5, 2012 #123 Preta said: leo umezifumua thread za miaka 47.......ni nini...? Click to expand... na mi nimeshangaaa ila bora i see manake hayo mathread yanayopostiwa kwenye wall mida hii kha!BHALEGHE tupu!
Preta said: leo umezifumua thread za miaka 47.......ni nini...? Click to expand... na mi nimeshangaaa ila bora i see manake hayo mathread yanayopostiwa kwenye wall mida hii kha!BHALEGHE tupu!
Bavaria JF-Expert Member Joined Jun 14, 2011 Posts 53,092 Reaction score 53,568 Oct 5, 2012 #124 kuna ustadhi flan kabakwa na wanaume wa5 kwa kutembea na mke wa mtu.
waza_makubwa JF-Expert Member Joined Jul 9, 2012 Posts 214 Reaction score 76 Oct 5, 2012 #125 PakaJimmy said: Hi.. Tokea zamani kuna msemo kwamba mke wa mtu ni mtamu...Je kuna ukweli katika Jambo hilo? Kama ni kweli, ni kwa vipi anatofautiana na mamsap? Click to expand... utakuwa unachungulia kabur
PakaJimmy said: Hi.. Tokea zamani kuna msemo kwamba mke wa mtu ni mtamu...Je kuna ukweli katika Jambo hilo? Kama ni kweli, ni kwa vipi anatofautiana na mamsap? Click to expand... utakuwa unachungulia kabur
next JF-Expert Member Joined Nov 2, 2007 Posts 604 Reaction score 185 Oct 5, 2012 #126 Mbu said: ...labda tofauti yake ni 'Caps' K, na 'lower-case' k... Click to expand... utam wa pipi ni mate yako. by the way, kutomba at the same time unahis kufumaniwa lazima tu uone tamu while its nothing at all. just ur minds cheating u.
Mbu said: ...labda tofauti yake ni 'Caps' K, na 'lower-case' k... Click to expand... utam wa pipi ni mate yako. by the way, kutomba at the same time unahis kufumaniwa lazima tu uone tamu while its nothing at all. just ur minds cheating u.
Dena Amsi R I P Joined Aug 17, 2010 Posts 13,080 Reaction score 4,275 Oct 5, 2012 #127 BADILI TABIA said: mke wa mtu sumu ingawa mtamu...... Click to expand... Leo kweli umeamua aisee kha??? Hongera kutuletea thread za zamani
BADILI TABIA said: mke wa mtu sumu ingawa mtamu...... Click to expand... Leo kweli umeamua aisee kha??? Hongera kutuletea thread za zamani
Fidel80 JF-Expert Member Joined May 3, 2008 Posts 21,945 Reaction score 4,499 Oct 6, 2012 #128 BADILI TABIA said: utafiti. Nimegundua yote yanayojadiliwa leo yashajadiliwa, na nikagundua Nyamayao na Fidel80 walikuwa wataalam wa kuchakachua thread za wenzao! Click to expand... B.T mbona wanionea jamani!!!! Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
BADILI TABIA said: utafiti. Nimegundua yote yanayojadiliwa leo yashajadiliwa, na nikagundua Nyamayao na Fidel80 walikuwa wataalam wa kuchakachua thread za wenzao! Click to expand... B.T mbona wanionea jamani!!!!