Mke wa mtu ukiamua kutembea nje ya ndoa.....do's and don'ts

Kasredi kamepata posts nyingi kweli, inamaanisha wengi ni washiriki wa nyumba ndogo humu teh teh teh!!
 
Bishanga,weeh tulia. Tutajifunza the hard way. Uhitaji ni chachu ya ufumbuzi. Niliwahi kuona mtu mchakachuaji karudi home kakuta mkewe mjamzito.jamaa aliacha na kazi coz he was working mbali. Alilea mwanae wa kambo kwa upole,mke kumuacha ngumu banaa.
Namimi nikutafute bibie tuzae?
 
Wake za watu wa ajabu sana, yaani mume wake anamjali na kumheshimu, lakini akienda magendo anavurugwa ndogo bila huruma
 
usitoe 0713 mana akinyoosha malinda yakitokea matatizo wakati wa kujifungua manurse watamuuliza mumeo
 

wanawake hawawezi kubalance kama kweli huyo mcheouko anaupenda utamjua tu.
 
mmh, labda uongee na interchick ndio wana mtambo wa kutotolesha vifaranga.
Mie nafuga simba tu, vifaranga vya kuku nehi nehii

:msela::msela:
Ha hahahahaha..!
Kwani simba unafuga jinsia moja tu au zote na wanazaana?
kama wanazaana,nadhani hawatumii mtambo wa kutotolesha.
ninachotaka kwako ni njia wanayotumia simba wao kujiongeza.
Na hiyo ndo kazi ninayoiomba kwako nitaifanya kwa juhudi na maarifa
:decision:
 
Naomba niongezee kiduchu,

hakikisha unafanya ishu zenu mchana na sio kuchelewa home. jambo hili husababisha wanaume kushtuka mapema.

kwa wale wafanyakazi hii nayo ni rahisi sana kwani anajua uko job.

na hayo tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…