Mke wa mtu sumu

Mke wa mtu sumu

Hapo anatafakar namna panga litakavyotua mwilin mwake
 
Unahakikisha unamfundisha mini maana ya kuoa,kaylta mkono kabisa ili awe kama albino
 
Hakuna kitu hapo, soma uso wa demu utaona wanapiga picha tu hao
 
Kufumaniwa gani huku??!! Jamaa kachomekea kama anakwenda kanisani....au alikuwa anatukia vidoleee??!!
 
yani demu kavua nguo alafu anatoa macho kama najua kinachotokea
 
Hizi ni filamu za kibongo, nyingi hazina uhalisia. Kwenye hali halisi isingewezekana demu tena wa wizi avuae nguo halafu dume liwe bado. Labda awe mke wake
 
Hii lazima itakuwa ni Bongo movie.....kwenye fumanizi orijinale...watu huwa hawana muda wa kujadiliana huwa ni vitendo tu......
 
Back
Top Bottom