UrbanGentleman
JF-Expert Member
- Jun 19, 2016
- 2,584
- 1,886
Uandishi mbovu sana, rudi shule tena mkuuJamaa alikua na mke wa mtu guest house akila mzigo sasa baada ya kumaliza akampigia simu dereva wa boda boda wa siku zote alie mzoea kua aje amfate mahala alipo ili ampeleke shemeji yake nyumbani(amuwahishe) akidai ni mke wa mtu asije mme wake akarudi home asimkute.... Sasa jamaa kufika yani dereva bodaboda akampigia simu bosi wake kua amefika sehemu husika anamsubiri nje... bosi yaani jamaa alie muita akamwambia amsubiri anakuja nae ili amlipe kabisa.... Kufika nje ya geti jamaa na mwanamke wakakuta kibajaj wakaingia jamaa akasalimia akala mate akampa mwanamke burungutu jamaa akazima ukimya kua nampeleka wapi ghafla mwanamke akastuka kuangalia vizuri mume wake jamaa akamuuliza vipi unaenda home kwanza au unapitia sokoni kama ulivyosema mwanamke kimya jamaa yuko nakuuliza mbna kimya dereva bajaji ikabidi ageuke kuangalia nyuma anageuka anakuta mke wake....jamaa akauliza vipi mnajuana.... Hapo ndipo timbwili likaanza jamaaa wa bajaji akanzisha kitim tim mwisho ikabidi aangue kilio uku akisema "kuangahika kwangu huku mpaka naendesha bajaj nikutunze malipo ndio haya mke wangu dereva huyo akiuliza kwa jazba na uchungu wa kilio chenye kwikwi uku kamkunja mke wake... bosi alie muita akabidi awe mpole kwa kuzuga hajui kama mke wa mtu na dereva wa bajaji akidai yeye hana ugonvi na jamaa ana ugonvi na mke wake alie mvunjia heshima..... =>>Mazeee mke wa mtu sumu kueni makini na nyie wanawake rizikeni na vibamia kama sivyo kwanini mkubali kuolewa.
Nirudi kutafuta nini mkuu mbona hakuna sehemu wameandika ntanyimwa exposure kwa uandishi huo??Uandishi mbovu sana, rudi shule tena mkuu
Teh teh yaani mkuu mm sijaelewa kabisa alichoandika huyu jamaaUandishi mbovu sana, rudi shule tena mkuu
Sawa ila panga vizuri ueleweke manNirudi kutafuta nini mkuu mbona hakuna sehemu wameandika ntanyimwa exposure kwa uandishi huo??
Nielekeze maana ata cheti chenyewe cha kununua... NtakulipaSawa ila panga vizuri ueleweke man
Nielekeze maana ata cheti chenyewe cha kununua... Ntakulipa
Cheti nilinunua shule haikuwahi kuwa kitu changuUandishi wa kijinga kabisa huu.... vipi ulitoroka shule mleta mada?.
huu mwandiko wako huu unaumiza macho............ sijui hata nianze wapi kurekebishaJamaa alikua na mke wa mtu guest house akila mzigo,sasa baada ya kumaliza akampigia simu dereva wa boda boda wa siku zote alie mzoea kua aje amfate mahala alipo ili ampeleke shemeji yake nyumbani(amuwahishe), akidai ni mke wa mtu asije mme wake akarudi home asimkute.... Sasa jamaa kufika yani dereva bodaboda akampigia simu bosi wake kua amefika sehemu husika anamsubiri nje... bosi yaani jamaa alie muita akamwambia amsubiri anakuja nae ili amlipe kabisa.... Kufika nje ya geti jamaa na mwanamke wakakuta kibajaj wakaingia, jamaa akasalimia akala mate akampa mwanamke burungutu jamaa akazima ukimya kua nampeleka wapi ghafla! mwanamke akastuka kuangalia vizuri mume wake jamaa akamuuliza vipi unaenda home kwanza au unapitia sokoni?, kama ulivyosema mwanamke kimya jamaa yuko nakuuliza mbna kimya dereva bajaji ikabidi ageuke kuangalia nyuma anageuka anakuta mke wake....jamaa akauliza vipi mnajuana.... Hapo ndipo timbwili likaanza jamaaa wa bajaji akanzisha kitim tim mwisho ikabidi aangue kilio uku akisema "kuangahika kwangu huku mpaka naendesha bajaj nikutunze malipo ndio haya mke wangu dereva huyo akiuliza kwa jazba na uchungu wa kilio chenye kwikwi uku kamkunja mke wake... bosi alie muita akabidi awe mpole kwa kuzuga hajui kama mke wa mtu na dereva wa bajaji akidai yeye hana ugonvi na jamaa ana ugonvi na mke wake alie mvunjia heshima..... =>>Mazeee mke wa mtu sumu kueni makini na nyie wanawake rizikeni na vibamia kama sivyo kwanini mkubali kuolewa.
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Issue siyo kibamia, tatizo pesa na kutokuridhika,
binafsi kama nimemfuma mke/mpenzi ili hali nampenda sito fanya chochote
Inaonekana umepata mke siku za karibuni...ndio maana unatisha wadokozi na story za kutunga...usiwe na wasiwasi, kama kuna ulazima watakugongea tu!!!Jamaa alikua na mke wa mtu guest house akila mzigo,sasa baada ya kumaliza akampigia simu dereva wa boda boda wa siku zote alie mzoea kua aje amfate mahala alipo ili ampeleke shemeji yake nyumbani(amuwahishe), akidai ni mke wa mtu asije mme wake akarudi home asimkute.... Sasa jamaa kufika yani dereva bodaboda akampigia simu bosi wake kua amefika sehemu husika anamsubiri nje... bosi yaani jamaa alie muita akamwambia amsubiri anakuja nae ili amlipe kabisa.... Kufika nje ya geti jamaa na mwanamke wakakuta kibajaj wakaingia, jamaa akasalimia akala mate akampa mwanamke burungutu jamaa akazima ukimya kua nampeleka wapi ghafla! mwanamke akastuka kuangalia vizuri mume wake jamaa akamuuliza vipi unaenda home kwanza au unapitia sokoni?, kama ulivyosema mwanamke kimya jamaa yuko nakuuliza mbna kimya dereva bajaji ikabidi ageuke kuangalia nyuma anageuka anakuta mke wake....jamaa akauliza vipi mnajuana.... Hapo ndipo timbwili likaanza jamaaa wa bajaji akanzisha kitim tim mwisho ikabidi aangue kilio uku akisema "kuangahika kwangu huku mpaka naendesha bajaj nikutunze malipo ndio haya mke wangu dereva huyo akiuliza kwa jazba na uchungu wa kilio chenye kwikwi uku kamkunja mke wake... bosi alie muita akabidi awe mpole kwa kuzuga hajui kama mke wa mtu na dereva wa bajaji akidai yeye hana ugonvi na jamaa ana ugonvi na mke wake alie mvunjia heshima..... =>>Mazeee mke wa mtu sumu kueni makini na nyie wanawake rizikeni na vibamia kama sivyo kwanini mkubali kuolewa.
Inaonekana umepata mke siku za karibuni...ndio maana unatisha wadokozi na story za kutunga...usiwe na wasiwasi, kama kuna ulazima watakugongea tu!!!