Mke wa mtu, Smart phone ya nini?

Umuoe mtu umkute na smartphone umnyang'anye? Ndoa hazipo hivyo kama wakukusaliti atakusaliti tu na usaliti ulikuwepo hata kabla ya smartphone, mimi mke namnanunulia smartphone hata tano kwa mwaka maana ni bingwa wa kupoteza na watoto kuzivunja napokuwa mbali hunitumia picha na vile vile najua mienendo yake kupitia smartphone hizo.
 
Sipati picha mitandao ya kijamii itakuwaje bila mademu
 
NAKUBALIANA NA WEWE KBS
 
Nonsense thread ,you are not okay at all
 
Wewe mleta thread ni ubinafsi tu ndo unaokusumbua,wewe unasmartphone mkeo Nokia ya tochi ama ugumu wa maisha unaona kununua smartphone 2 ni gharama? Maana si kwa wivu huu.
 
yaani wewe unawaza umalaya tu??? wanawake wengi wako wanaadvertise biashara zao mitandao, we endelea kuwaza negative
 
POle Anti biotic kwa kuchapiwa. Halafu jamaa yangu huna haja ya kupaniki, kwani kama kaliwa si kaliwa yeye, wewe tatizo lako liko wapi? kwani hukuikuta papuchi, si ipoooo? dawa yake na wewe ichape na kama ukiona haina radha basi tafuta papuchi nyingine upumue. simple like that.
 
Kabla ya technolojia ya smartphone kuja wanawake walikuwa hawachepuki?
 

Kabla ya kuja kwa simu za mkononi michepuko haiku wapo?
 
Unajua umalaya ni tabia ya mtu hata mtu awe vp kama hana hofu ya Mungu umalaya kwake ni kawaida kabisa, tabia ni kama ngozi kuibadilisha ni kazi sana. Umalaya ni mtu kuchagua
 
Haya maneno walinena wazee wa zamanii,
Ukiwa mjanja kuchapiwa ni siri ya ndanii,
Masikini roho yangu mimiii......

By: Rich Mavoko.
 
blaza umepanic sana embu punguza jazba daah... umefumania nin?
 
Hahaha mambo mengine tunagugo kwa siri bana. Tukitaka kujipiga selfie sasa?

Hizo hizo selfie ndo hatuzitaki, ili umwoneshe nani wakati mi nakuona?

Itabidi tuwanunulie kamera kwa ajili ya picha.
 
Yaani mke wangu asijitwange photo ya kaselfie na wanangu kisa?? Mke wangu asinitumie picha ya msosi nitakaokula nikirudi home kisa atatongozwa!!! Kama umeoa kahaba kivyako bana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…