Mke wa mtu ni sumu unajibu we ni maziwa tazameni hapa

Kajolijo

JF-Expert Member
May 30, 2016
3,364
4,612
Mnaoambiwa kua mke wa mtu ni sumu mnajibu kua nyie ni panadol, sasa tazama hapa


8ed24f9c5fff56ce8e83835deca3b5fb.jpg
 
Kuna bwana mmoja alikuwa anatumia dawa za kupunguza makali ya virusi vya ukimwi sijui alibadilishiwa dawa alipatwa na majanga kama haya..
 
Mkuu nakumbuka babu yetu alisema ukitaka kula mke wa mtu hakikisha unatumia kinga maana wengi wanatega nyama kwa nyama! All in all its do for ur own risk!
 
Acha kudanganya watu hapa. Kuna wanaume baadhi ya dawa wakizitumia huwa zinasababisha kukua kwa matiti. Dawa za kupunguza makali ya UKIMWI pamoja na zile za kupunguza msongo wa mawazo (antidepressants) zina side effects hizi kwa baadhi ya watumiaji wake. Hali hii kisayansi hujulikana kama Gynecomastia.

Huyu baba alishaandikwa sana hata kwenye magazeti ya Shigongo na ni mfano mzuri wa athari za matumizi ya aina mojawapo ya dawa nilizozitaja hapo juu.
 
Back
Top Bottom