Mi bishoo tu
Senior Member
- Jun 3, 2023
- 122
- 295
Inatakiwa tumreport kwa Moderators hata kama anafanya au anadanganya, hili la kutaja watu moja kwa moja ni baya sana kwani litasababisha kuvunja ndoa, mauaji na kashfa kwenye jamii. Unasema mmemfira mke wa mtu tena unaweka na code nyingi wazi hii sio sawa. Anachofanya sio sahihi.Wewe jamaa mikasa yako huwaga ni story za eric shigongo., Mwenye kufikwa na shida hawezi kujianika kiasi hiki (code ziko open),maana lazima awe na hofu ya kuchotwa kama maji kwenye mtungi na kuhalalisha kuwa hii ni chai umetaja na sehemu ambayo upo kwa sasa wakti umeshaharibu., Itoshe kusema wewe ni mtunzi wa hadithi na hii si ya kwanza kuiona kutoka kwako. [emoji119]
Sent from my vivo 2015 using JamiiForums mobile app
Anywe maziwaMke wa mtu sumu. Shauri zako.
Kama huyo mwanaume ni Mjaluo, ameisha , analogwa jamaa.🤣🤣😀na bado kifuatacho watakugeuza mke au wakuroge