Hajaoa anakimbilia wake za watu, ye aendelee tu na akitaka ahamishie kwake na hajajua uchungu wa mke hadi atakapo liwa kisamvu. Tabia mbaya kwa kijana ambaye hujaoa kujitia nuksi.
Anasema jamaa ana upungufu wa nguvu za kiume ??
Sasa asubiri siku yake ikifika atashangaa kuona nusu saa nzima jamaa hashuki mgongoni mwake kumbuka mtafuna nae hutafunwa ati !!