Mke wa mtu haibiwi

Hawadanganywi mkuu, ukiona kakubali kakuelewa wala hujamdanganya koo ata usingesema wewe angesema yeye

Ndio maana nakuambia wewe ni mtoto.

siku jaribu kutongoza mke wa mtu utaelewa nazungumzia nini.
 
"Nna mengi kuhusu hawa viumbe siwezi sema yote ila kwa kifupi nawachukia sana tena sana maovu yote hapa duniani wanasababisha wao wakishirikiana na Mungu"

Kuna watu wa aina moja tu wanachukia wanawake.
 
Umefika mbali mkuu
Kusema mtu kaibiwa au kamuiba mtu mwingine katika muktadha wa mke na mume wa mtu ni kualalisha ujinga, kusema mwanake ni dhaifu ndo mana anaweza kuibiwa hizo ni inferiority complex walizokuwa nazo kipindi cha zama za mawe hambazo hazina mantic yoyote kwenye dunia ya sasa. Mwanaume anatongoza ila si kila mwanaume anayemtongoza mwanamke, Mwanamke huyo akubali. Kwanini utongoze mke wa mtu huku unajua ni mke wa mtu na mke wa mtu kwanini ukubali ukitongozwa wakati unajua kuwa ni mke wa mtu.
 
Kwani mnabishana nini hapa wakuu?
 
Ufafanuzi mkuu jinsi wanavyoshirikiana na Mungu,hapo sijaelewa msaada wako tafadhali
 
Agiza nakuja kulipiq
 
Kuna demu mmoja wa mtu namfukuzia naona ananiletea mashauzi ila nitamla tu
 
Napingana na wewe kabisa kwamba mwanamke yeyote ukimpania unampata

Kuna wanawake wenye misimamo na ndoa zao au na uchumba wao.
Ukiona mke wa mtu kakubalia, basi jua mwanaume wake ndio kasababisha au huyo mwanamke ni tabia yake.
Wanawake wenye akili wapo ila ni wachache!
Changamoto zako kwenye mapenzi zisikufanye uwachafue wanawake wote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…