Mke wa mtu haibiwi

Unaonekana unauchungu sana ndani yako ambao hautakusaidia chochote zaidi ya kukupa kiungulia unapokutana na maswala ya hao viumbe jifunze Kusamehe na kusonga mbele
Mpaka kufika hapa nimeshasamehe ndio maana nimetoa eagle
 
Kuna wake za watu wanajilengesha wenyewe...hawa nao utasemaje?
 
Nonsense
 
Maisha halisi yapi mzee? Kwa hiyo unataka kujfananisha na mwanamke? Nimekuuliza, anayetongozwa ni mwanamke au mwanaume? Hv unajua kuwa mwanamke ukimtongoza bila kukata tamaa unampata?
Nonsense....unaishi dunia ipi wewe?umekariri vibaya......kutongozwa siyo lazima akutamkie acha ubwege...wanawake wanatumia lugha za vitendo wakikutaka...kama ukiwa boya kama wewe huwezi elewa
 
Mkuu wanashirikiana na Mungu katika jambo lipi haswa...??/ naomba utujuze
 
Mtoa Post ukikua utaelewa. Wanawake ni tofauti na uwafikiriavyo.

Wanaibiwa Coz wanadanganywa
 
hata ibilisi anaweza tupia thread humu.....na uzi ukaendelea...
 
Sio kweli.

Mwanamke ana uwezo wa kuchomoa.
 
Mtoa Post ukikua utaelewa. Wanawake ni tofauti na uwafikiriavyo.

Wanaibiwa Coz wanadanganywa
Hawadanganywi mkuu, ukiona kakubali kakuelewa wala hujamdanganya koo ata usingesema wewe angesema yeye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…