Rozanna Agro Africa
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 809
- 796
Hao sio viumbe dhaifu labda kama umeamua kuwatetea tu kumbuka sasa ni haki sawa
Wanawake wa zamani ndio walikua dhaifu maana waliwekwa nyuma kwene kila kitu kuanzia elimu ambayo ndo nguzo muhimu
Hahha watu wamechoka... imebidi aseme ya moyoni, huo ushirikiano sijui kauonea wapiHahahahaha eti tukishilikiana na mungu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]stress mbaya jamani.....
Mkuu huwez kupambana na asili, mwanamke ni kiumbe dhaifu kuliko mwanaume.... ktk utashi na kila kitu.
Jinsia haziwez kuwa sawa kwa kila kitu, mwanamke ameumbwa kutokana na mwanaume.....
Mke wa mtu anashawishiwa ila mume wa mtu hashawishiwi... anashawishi[emoji3]
acha kuishi kwa kukariri mkuu zungumzia maisha halisi
Yaaan acha tu kila nikifikilia nacheka sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahha watu wamechoka... imebidi aseme ya moyoni, huo ushirikiano sijui kauonea wapi
unaongelea maisha ya kwene season mkuu zungumzia maisha halisiMaisha halisi yapi mzee? Kwa hiyo unataka kujfananisha na mwanamke? Nimekuuliza, anayetongozwa ni mwanamke au mwanaume? Hv unajua kuwa mwanamke ukimtongoza bila kukata tamaa unampata?
Yaaan acha tu kila nikifikilia nacheka sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hapa nikae kuangalia wezi watakavyofurahia
Ukioa utaelewaMkuu wezi kivipi asee
Nnavoongea haya nina familia mkuuUkioa utaelewa
Kwa nini kama familia huwa mnachapa watoto kwa kuwaambia wameiba sukari, ukipata jibu na hilo la mke ama mme wa mtu utajuaNnavoongea haya nina familia mkuu
Kwa nini kama familia huwa mnachapa watoto kwa kuwaambia wameiba sukari, ukipata jibu na hilo la mke ama mme wa mtu utajua
Tatizo hujatoa jibu ulilopataacha kuishi kwa kukariri
Mleta mada anaitwa Maji ya gundu?
Okay, muhudumu leta nyingine!
Huwa sikubaliani kabisa na kauli ya kusema jamaa kaiba mke wa mtu,au mtu fulani kaiba mke wa fulani, huwa naona iyo kauli na kauli za aina iyo zinakosewa sana
How come mtu mzima na akili zake anaibiwa? Mwanamke akichepuka na mtu mwingine anakua kaamua tu yeye mwenyewe na akili zake timamu hajaibiwa kama mnavodai
Kuna siku nilikuta wanampiga mzee fulani wa makamo kwa kudai ameiba mke wa mtu, to be honest niliumia sana kwa kitendo kile maana mi nnavojua wanawake nao binadamu wana akili hawawezi kuibiwa kama nyanya sokoni koo ukiona kachepuka jua ameamua
Afu hivi iyo kauli ya kuibwa wanawake huwa mnaichukuliaje? ni kauli flani inawadharirisha yaani nyie hamna tofauti na nyanya sokoni
Wanawake wote wale wale mwalimu wao mmoja koo ukimfumania usimkazie jamaa achana nae kiroho njema usikute mke wako ndio alimtongoza jamaa na mazingira ya kuliwa kayatengeneza yeye
Nna mengi kuhusu hawa viumbe siwezi sema yote ila kwa kifupi nawachukia sana tena sana maovu yote hapa duniani wanasababisha wao wakishirikiana na Mungu