maji ya gundu
JF-Expert Member
- Oct 7, 2018
- 3,120
- 4,850
hapo mwisho umeharibu mkuu
Wakati wako wa kuelewa bado hujafika, Time ikifika utaelewa nimemaanisha nini
😂😂😂😂😂 kafanya utafiti yakinifuMmmh unashida mahari mkuu pole sana....kwamba sisi ndo tunaleta matatizo duniani tukishilikiana na Mungu hahahahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
hapana mkuu chunguza kwa makini utaproveMmmh unashida mahari mkuu pole sana....kwamba sisi ndo tunaleta matatizo duniani tukishilikiana na Mungu hahahahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ungeuliza kistaarabu as hivo ningekusaidia tatizo lako unaonesha hutaki kujifunzawakati upi unaozungumzia wewe nikishakufa ama? yaani wanashirikiana na Mungu kivipi
hahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kafanya utafiti yakinifu
Ni kweli. Mimi pia sipendi mtu aniambie eti nimeiba mume wa mtu...mtu mzima na akili zake anaibiwaje
sikuuliza yale yalikuwa ni maoni, je mkuu unapotoa post hupendi kuulizwa ama kukosolewa? sababu hawa wanawake ni mama zetu na pia ni watoto zetu na dada zetu dhumuni nilitaka kujua point yako.ungeuliza kistaarabu as hivo ningekusaidia tatizo lako unaonesha hutaki kujifunza
Huwa sikubaliani kabisa na kauli ya kusema jamaa kaiba mke wa mtu,au mtu fulani kaiba mke wa fulani, huwa naona iyo kauli na kauli za aina iyo zinakosewa sana
How come mtu mzima na akili zake anaibiwa? Mwanamke akichepuka na mtu mwingine anakua kaamua tu yeye mwenyewe na akili zake timamu hajaibiwa kama mnavodai
Kuna siku nilikuta wanampiga mzee fulani wa makamo kwa kudai ameiba mke wa mtu, to be honest niliumia sana kwa kitendo kile maana mi nnavojua wanawake nao binadamu wana akili hawawezi kuibiwa kama nyanya sokoni koo ukiona kachepuka jua ameamua
Afu hivi iyo kauli ya kuibwa wanawake huwa mnaichukuliaje? ni kauli flani inawadharirisha yaani nyie hamna tofauti na nyanya sokoni
Wanawake wote wale wale mwalimu wao mmoja koo ukimfumania usimkazie jamaa achana nae kiroho njema usikute mke wako ndio alimtongoza jamaa na mazingira ya kuliwa kayatengeneza yeye
Nna mengi kuhusu hawa viumbe siwezi sema yote ila kwa kifupi nawachukia sana tena sana maovu yote hapa duniani wanasababisha wao wakishirikiana na Mungu
Tatizo ni njia ulotumia kuwasilisha maoni yakosikuuliza yale yalikuwa ni maoni, je mkuu unapotoa post hupendi kuulizwa ama kukosolewa? sababu hawa wanawake ni mama zetu na pia ni watoto zetu na dada zetu dhumuni nilitaka kujua point yako.
Tatizo ni njia ulotumia kuwasilisha maoni yako
Habari mkuu, naomba nipingane na wewe kidogo.
Tunaposema mke wa mtu anaibwa tuna maana ya kuwa... mwanamke ni kiumbe dhaifu ambaye kwa ushawishi wa mwanaume hawez kuruka viunzi vyote, atalaghaiwa kila mbinu mpk anaingia kwenye line.
Mwanamke yeyote ukimpania unampata......
Ktk tamaduni zetu za kiafrika, mwanaume ndye humtongoza mwanamke, hvyo mke wa mtu anatongozwa na kulaghaiwa mpk anakubali
Mtu unajua kabisa huyu ni mke wa mtu, unaanza kumpigia misele.... hivyo mwenye kosa ni mwanaume.
Mwanaume ndye huchepuka kwa hiyari kwa sababu hatongozwi, anatongoza yeye.
NIMEMALIZA
Hahahahaha eti tukishilikiana na mungu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]stress mbaya jamani.....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kafanya utafiti yakinifu
Sio stress mkuu mi nko normalHahahahaha eti tukishilikiana na mungu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]stress mbaya jamani.....