Mke wa mtu anatafuta infidelity

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Posts
98,502
Reaction score
145,900
Ni mke wa mtu, ana umri wa miaka 43. Anatafuta hawara wa kula naye good naye good time.

 
Hawa wazuri hawana ghalama
 
Kwani umejuaje kuwa she is married?
Ila ukiangalia what married people go through, its a sad demise! Ni bora watu wangekuwa positive about divorce kikaeleweka!
 
Usikute na mume wake Yuko kwenye hiyo
Website ..
 
Kachoka nafsi yake nakufanywa daraja nadhani...
 
wakitongozana itakuwa bomba ile mbaya, hahahaha.
Nacheka kama mazuri!

yani! mi sijaanza kucheka bado naendelea kuicheki hiyo picha wanavopeana maahadi ya ukweli!
mara vuuuup kitu tweeende saasa eneo la tukio!
mume huyu,mke huyu!
uuuwih my evil mind!
 
Kwani umejuaje kuwa she is married?
Ila ukiangalia what married people go through, its a sad demise! Ni bora watu wangekuwa positive about divorce kikaeleweka!

Tatizo sio ndoa tatizo ni watu.Kuna imani zinaruhusu mke zaidi mmoja,lakini haijaweza kusaidia.Hata divorce ingekuwa legal bado tatizo lingekuwepo.Binadamu ndo mwenye tatizo!
 
Haiwezekani mmewe nae atakuwa atafuta radha ingine

Si wanasemaga eti watu wa hukoooo wakichokana wanakubaliana kutafuta ladha nyingingine!
 
Ni mke wa mtu, ana umri wa miaka 43. Anatafuta hawara wa kula naye good naye good time.



Haya ni mazungumzo baada ya habari. Mke ama mume wa mtu hawezi kuja JF au kwenye mitandao ya kijamii kutafuta mtu wa kutaka kujamiana naye. Kama atakuwepo basi huyo ni mbumbumbu. :confused2:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…