Mke wa mtu anapoomba kupewa mimba na mchepuko

Mke wa mtu anapoomba kupewa mimba na mchepuko

Mkwala

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2014
Posts
1,180
Reaction score
1,277
Wasalaam,

Kuna mjomba wangu mmoja ametongozwa na Mke wa mtu na amemtaka hata ampatie mimba tuu.

Huyu dada ni mke wa mtu na ana watoto wawili.Cha kushangaza anasema mume wake siyo chaguo lake kwani hampendi hata kidogo.

Anaendelea kueleza kuwa jamaa alitumia nguvu "first touch na kibendi" hivyo pamoja na yote ikamlazimu amkubalie kishingo upande kuolewa.

Sasa huyu Uncle mimi nipo naye karibu kama Mdogo angu hivi amenipa hii story nikabakia mdomo wazi.

Naombeni msaada wa hili tuta ili za kuambiwa nichanganye na zangu,zake tujinasue.

For the record ashakula papuchi.Kweli wake za watu wana mamboo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanawake wazinzi wengi ni waongo' hapo siku unadakwa ataishia kulia tu na kumuomba mumewe msamaha ili asiachwe bila kujali wewe utafanywa nn na mumewe.
 
Wasalaam,nashukuru kwa maoni yenu.Nimemshauri Anko aachane na Mke wa mtu kwani ni Hatari zaidi ya SUMU.Pili kwa kuwa alikuwa anasimamia mradi flani hivi akisubiria Ajira nimemtaka arudi Kijijini .Hili linaweza kumsaidia na kujua kuwa alichokuwa na anachotaka kufanya siyo katika jamii.Na kwa kutumia akili yangu ya kuzaliwa nimemshawishi na amepata usafiri anaelekea huko.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Du kisa kama hiki kilinitokea mzingira flani nilienda kufanya kazi nyeti nikakutana na mdada short chases ila kajazia kweli

Kaniganda nimpe ujauzito....kumbe tayari alikuwa na ujauzito mchanga kakosa wa kumbambikia wanawake wana mbinu bwana

Usije ukakubali kuingizwa katika msalaba mwanzo unaweza kuona ni rahis ila maisha yanavyoenda kuna siku utajua tena mke wa mtu

Kutembea kwanza na mke wa mtu ni deni kubwa sana malipo yake.....!! Kwenye nafsi huwa ni magumu sana

sent from toyota Allex
 
Back
Top Bottom