Sawa nitajaribu ila nifedheha sanaAchana naye yani uwe unamuignore tu akichoka kuweka "na" ataacha mwenyewe
Mke wa mtu huyu mwambaMpige pipe
Anaona wewe sawa na mke mwenzake joka la kibisa.Haivumiliki mkuu wakati mwingine ananita hadi mbele ya mastaff wenzake inaumiza sana moyo
Shida ni mke wa mtu mama mtu mzima ila angekua hata manzi single single au demu wa msela ninge msulubuAnaona wewe sawa na mke mwenzake joka la kibisa.
Hii Inawezekana kabisa..Jojinaaa😀au jojina
Amegundua kuwa wewe ni Mjordan ambako miti iko ila wajenzi hakuna.Kaamua muwe jinsia mojaWakubwa njoeni tumalize huu utata maana ipo siku nitamchapa makofi huyu mwanamke ambaye ni mke wa mtu hadharani na adhalilike kabisa.
Kama tujuavyo kuna baadhi ya majina ya kiume ukinyumbua baadhi ya herufi na kuongeza ""na"" lina kua jina la kike na baadhi ukiweka ""na"" automaticaly linakua la kike
Mfano; * paskali =/= paskalina
*Paulo=/= Paulina
Huyu mwanamke ni mke wa mtu mama mtu mzima na watoto wake wa kubwa tuu, amekua akinichekea chekea sana na mimi na kwepa vishawishi vyake na vicheko vyake pia wakati mwingine akinipa huduma ana ni hudumia kwa heshima sana mpaka naona hapa kuna jambo halipo sawa. Nimemkazia sana maana sipendi ujinga na wake za watu ila yeye ameona hawezi ni nasa sasa kaamua kuongeza "na" kwenye jina langu.
Ame haribu jina langu na linakua kama lina sound kikike kike hivi. Nimemkanya sana nimetumia mpaka watu wa kubwa waongee nae ila naona hasikii na wala hataki kuelewa kila akiniona anaongeza "na"
Nafikiria nimpige pipe labda nitaweka heshima ila naona huu utakua mtego wa waziwazi, ndugu wana Jf busara zenu zina hitajika hapa ni mfanyaje aache kuweka hili neno "na" mwishoni mwa jina langu.