Mke wa mtu ananitaka

Msaaala huo anayway kila lenye kheri ............siku ukibambwa ulete mrejesho
 
Aseeee ukikoswa na kaswende utarudi na kisonono CC@Khadijakopa
 
Weka namba ya mkeo humu ndio utakapopata jibu la nini cha kufanya mkuu.
 
kaka mkimbie huyo ni nyoka na mtihan kwako usithubutu Mungu hulipa hapa hapa dunian ukimsilkiliza nawe ujue mke wako naye atakusaliti
 
Kweli nimeamini upele unawapata wasio na makucha!Striker mwenye jina striker huyo dada angekuwa kalazwa kibra zaidi ya mara 5 toka ajilete mwenyewe
 
AHAHAHAHAHAHA......NAMKUMBUKA SANA WAZIRI MKUU MZEE MIZENGO PINDA.

WAPIGWE TUU..MAANA HAKUNA NAMNA....AGEGEDWE TUU. ILA SIKU MUMEWE AKIKUKUTA NA WEWE UTAFIIIIII........,,RWAAAAAA TUU..MAANA HAMNA JINSI.

PINDAAAAAAAAAAA...MTOTO WA MKULIMA AHAHAHAHA...SAHIVI UTAKUWA UNALIMA NYUKI NA MAVUNO ASALI..AHAHAHAHA.
 
wewe nawe tapeli tu mara mzungu anakupenda umepost leo tena jirani wa nyumba ya tano acha kutuzingua kwa kuwa umeoa wadau wamekushauri umuulize mkeo akushauri au mbadilishane wake na huyo jirani yako maana inaonekana una mke mbaya unasifia wa wenzako tu wako je
 
Mkuu inaonekana unapenda vya mteremko sana. Kuna thread unazungumzia kupendwa na mzungu mwenye mihela,hapa unazungumzia kupendwa na mke wa mtu kwa miaka 4. Mkuu jiangalie,sio kila g*y alianza kwa kupenda.
 
Maswali mengine jamani!!! Ukishauriwa humu kuwa umle na wewe utamla ht km hutaki? Follow your heart...na inaonekana na ww unamtaka. Mle tu...
 
Majamaa mengine husema yakikudaka kichwa ni halali yake. Sasa sijui ni kichwa kipi kinahusika.
 
Achana nae, mtego huo. Fumanizi ni biashara siku hizi.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…